Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jiliwaze mwaya,mbona m7 kasema shoot to kill? Maana amejaribu hao vijana wamelemea police wake sasa ameamua kuwatumia army.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Ndio ashatangaza vyuma nje nje munafkiri mutachezea nchi za watu hvi hvi , kama watu wenu wenyewe mumeshindwa usifkiri kwengine watashindwa pia

Endelea kujipa moyo kama vile mlivoingilia siasa za uganda wakat za kweny zinawatoa mavi😆😆😆
 
Godwin Gen: acha longolongo braza sio mara ya Kwanza m7 kutoa Hilo agizo hao pokoti amejaribu kuwazua kwingia kule kwake ameshindwa,huwezi linganisha pokoti bandits na mungiki utakua hujielewi.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app

Kazi ya wapokot kenya ni kuwaua waturkana na kuchukua mali zao sasa munafkiri na kwengine wataenda kufanya hvo hvo alaf wachekewe,

Museven safari hii kawabana ipasavyo hamuna hamu nae mpaka mlifkia hatua ya kuingilia siasa za uganda wakat siasa za kwenu ni mavi ya kuku😆😆😆😆
 
Nikisikia al shabab alafu naona pia wanataka kuingia kwenye misitu minene ya congo kwenda kuwindana na Adf nalu nawashangaa sana aise
Wao wanafkiri uganda itabaki kuwaangalia tu heheh mseven ameshatangaza chuma nje nje sasa subiri waone

Unajua wakenya ni watu waajabu sana sasa kama wangekua tushio kwann alshabab wanawatoa uharo

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Nikisikia al shabab alafu naona pia wanataka kuingia kwenye misitu minene ya congo kwenda kuwindana na Adf nalu nawashangaa sana aise

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Alshabab ukiwachokoza ndio wana deal na ww lakini kama hukuwachokoza hawana time na ww, kenya iliwafata kwao kupigana ndio maana wanajambishwa kila mara na vipigo vitakatifu
 
Godwin Gen: acha longolongo braza sio mara ya Kwanza m7 kutoa Hilo agizo hao pokoti amejaribu kuwazua kwingia kule kwake ameshindwa,huwezi linganisha pokoti bandits na mungiki utakua hujielewi.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app

By the way hivyo vibandits ni ushahidi mojawapo kuwa kenya chakula ni shida thats y wanaenda kuiba uganda
 
Alshabab ukiwachokoza ndio wana deal na ww lakini kama hukuwachokoza hawana time na ww, kenya iliwafata kwao kupigana ndio maana wanajambishwa kila mara na vipigo vitakatifu
Sasa wanataka tena waende kuwachokoza ADF then wakimaliza hapo wataelekea Nigeria kupambana na boko haram

Naona wanatafuta ushawishi miaka hii kitu ambacho tz ilikifanya miaka ya 60 na imefanya kazi ya magu kujenga uchumi kuwa simple

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Dodoma Baby
CCM Conversion Center and Takwimu House
IMG_20190130_184226.jpg
IMG_20190130_184318.jpg
IMG_20190130_184327.jpg
IMG_20190130_184817A.jpg
 
Watu walijua BRT is only buses wakasahau ni system

Mbabaishaji aliyewashauri wajenge SGR ya diesel,angefikiriaga kwa utulivu wakaanza na BRT wangekuwa walifanya kitu cha maana sana.

Sasa angalia hapo WB ndio anategemewa kuwa msimamizi mkuu wa hii show,lakini hata gharama za mradi wote inashindikana kufanya tathmini,yaani hapo wanajipanda kuongeza sifuri wapige cha juu kama kawa.wala hakuna kingine.
 
Ndio ashatangaza vyuma nje nje munafkiri mutachezea nchi za watu hvi hvi , kama watu wenu wenyewe mumeshindwa usifkiri kwengine watashindwa pia

Endelea kujipa moyo kama vile mlivoingilia siasa za uganda wakat za kweny zinawatoa mavi
Time will tell,Kwanza hapo Kwa siasa tutaweka Bobi wine ndio sasa Uganda ingie mfukoni mwetu jinsi tumeifanya DRC.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Kazi ya wapokot kenya ni kuwaua waturkana na kuchukua mali zao sasa munafkiri na kwengine wataenda kufanya hvo hvo alaf wachekewe,

Museven safari hii kawabana ipasavyo hamuna hamu nae mpaka mlifkia hatua ya kuingilia siasa za uganda wakat siasa za kwenu ni mavi ya kuku
ichoboy01: Hilo la turkana wanaibiana pande zote mbili, lakini hilo la siasa za Uganda lazima influence yetu muifeel kotekote.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom