Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii maneno Wakenya hawaongelei kabisa wamenywea kama wamemwagiwa maji ingekuwa hii order imetolewa Tanzania, all hell would break loose! Kenya is a nation full of hypocrisy!


Kama vile hell broke loose na Msumbiji 🙄
 
IMG_7958.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hehehe,we unawafahamu wapokoti kweli? Hao jamaa hawana mchezo,labda museveni atume ndege zake za kivita huko karamojong kwenda kuspy hawa jamaa wakiingia huko bila hilo hawa pokoti watamaliza karamojong wote Uganda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi waende alaf waone sasa kwan tatizo liko wapi unafkiri waganda ni sawa na waturkana kila siku kuonewa tu😃😃😃
 
Back
Top Bottom