Hii ni kweli kabisa, huwa si wa kubezwa kirahisi. Wapinzani wanahitaji kujipa muda wa kutafakari kabla kumuattack katika kila jambo analolisimamia. Wapinzani wamekuwa wakurupukaji muno mwishowe wananchi wameanza kuwaona ni wapuuzi.Huyu jamaa usikurupuke naye mwanzo kwa sababu ana hulka ya kuibuka na ushindi mwishoni hiki kitu hata wapinzani hawajikielewa wanakuwa wepesi kumuattack mwanzo badala ya kusubiri kwanza.
Jamaa alichukua form ya urais hakuwa hata na uhakika wa 10% kwamba atakuja kuwa raisi, majina yalikuwa membe na lowassa. Nyota yake inayong'aa mwishoni ilianza kufanya kazi hapa, hata January Makamba alikuwa na nafasi kubwa kushinda Magu lakini kilichotokea anajua Mungu tu.
Magu huwa haendekezi ujinga, hapepesi hata kama ni rafiki yake, ni trait nzuri sana kwa mwanaume kuwa nayo maishani.Huyu jamaa ni Mungu yuko naye, juzi nimesikia Raila analalamika hapokei simu zake, ujue hapo alishapata Taarifa ujinga anaotaka kuongea.
Sasa hawa watajifungia mpaka lini?
Haha ulifaa kuwa mganga nimecheka sana.Hii ni kweli kabisa, huwa si wa kubezwa kirahisi. Wapinzani wanahitaji kujipa muda wa kutafakari kabla kumuattack katika kila jambo analolisimamia. Wapinzani wamekuwa wakurupukaji muno mwishowe wananchi wameanza kuwaona ni wapuuzi.
Lakini wengine tulikuwa tunamuombea sana achukue form kwenye uchaguzi wa 2015. Nakumbuka mzee wangu alikuwa anapenda kuniuliza ni mtu gani ni sahihi kwa nafasi ya Urais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano kabla ya 2015 mara zote nilikuwa namjibu ni Magufuli. Alikuwa ananishangaa sana, alikuwa anasema huyo ni mzuri sana lakini hawezi maana hana pesa na hana mtandao. Nilikuwa namwambia ya Mungu ni mengi lakini alewa ni huyo huyo.
Kwa upande wa Zanzibar nilikuwa namwambia ni pa gumu mno na uchaguzi utaharibika. Na kweli baada ya uchaguzi Magufuli alikuwa Rais na Zanzibar uchaguzi uliharibika. Mzee wangu mpaka leo hii huwa hanielewielewi. Kwa mfumo wa kabila letu huwa anasema nilifaa kuwa mganga wa kienyeji.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli tuzidi kuomba tumpate mwingine mzuri baada ya Magufuli kumaliza mudavwake.Haha ulifaa kuwa mganga nimecheka sana.
Ila tuzidi kumuomba Mungu angalau akiondoka tupate atakaye fanya kama yeye.
Uganda hawajafunga mpaka na Tanzania!Sasa hawa watajifungia mpaka lini?
Namaanisha lockdown, yaani watajifungia ndani mpaka lini? Maana kila siku inakuwa afadhali ya janaUganda hawajafunga mpaka na Tanzania!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Largest stadium in Africa
The proposed mega stadium upon completion will have the capacity to accommodate between 85, 000 to 100, 000 spectators, more than any other stadium in the continent.
Dodoma Stadium project in Tanzania edges closer to breaking ground
Wanasubiri kauli kutoka kwa mabwana zao [emoji23]Sasa hawa watajifungia mpaka lini?
Ndio ujue hata nynyi jamaa wanakunya katika vyoo vya misaada pia[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani hata hivi vyenu huoni kama wafadhili ni red cross na world vision?
Raha ya kujieleza hyo pia[emoji23][emoji23]hii ndio raha ya ubepari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116] hamuna utu kabisa
Huku upande wa pili watoto wanakula mafi hku wakijiaminishia wana chakula[emoji23][emoji23][emoji23]faida ya capitalism ni hii[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116] wachache wenye akili na madaraka wanapiga pesa za umma mara mbili mbili alaf majority munabaki kupika mawe[emoji116][emoji116][emoji116] watu wamepiga 8.1b ksh alaf wameomba tena mara ya pili same amount wapige tena
Tunazidi kuona na kufanya biashara pamoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]malizeni hzo kwanza
Kama wametafuta mfadhili kama mkoa ni heri kwao, tusubiri maelezo zaidi.
Raha ya media hzo[emoji23][emoji23]maana nyinyi hamuishii kuona majengo ya investors[emoji23][emoji23] wanakuja wanashika uchumi munabakia kupika mpaka mawe[emoji2][emoji2]
investor anachukua ardhi ya rutuba anapanda maua anauza kwao nyinyi munabaki kuhangaika na njaa kila mwaka
wachache wanawafanya muishi maisha yakinguruwe
Na wana timu yao inaitwa Geita gold mine hivyo hivyo.Tetesi anaejenga ni Geita Gold mine.. [emoji848] tunahitaji vitu bab kubwa because we deserve
Sent from my iPhone using JamiiForums