The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,849
Hawezi kurudi yulee kuna kauzi kao tumewaachia wanafarijiana kanaitwa Nairobi green shit in the slum[emoji3][emoji3]Nixcie wapi baba???? Upo quarantine unapokea maumivu ya Jana? Au Leo bosi kakutaza kutumia simu ukiwa unalinda geti? [emoji23][emoji23]
Una akili za chang'aa wewe na wenzako huko kunyaland ndio maana mnanua trains za mwaka 1920 zenye vichwa vya mbogo.Treni ipi hyo[emoji23][emoji23][emoji23] kwn nynyi mna treni zaidi ya ile ya kifafa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo hizo ndio station za SGR yetu au wewe unataka ziweje? Sisi hatuna akili za matope kama nyie ambao mna-invest mahela kibao kujenga decorated stations maporini ambako abiria ni kiduchu badala ya hizo hela ku-invest kwenye electric trains. Sisi hela zetu nyingi tumeinvest kwenye electric trains badala ya kui-invest mahela kibao kwenye station hizo ndogo ndogo.
Ni kweli lakini muda mwingi munautumia kuishammbulia Tz na boder zake na kwamba hatujafanya lolote kuhusu lock down, sasa huo muda elekezeni kusaidia wahanga wa mafuriko na locusts kuliko kusubiri data za corona.Janga la taifa ni nini? na kwan mafuriko yakiua kuna mkono wa mtu, au ndio unafurahia...
Ujue haya hayana mipaka, leo huku kesho kule..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwhyo tuzuie mvua isinyeshe, kwlei unajiskia mazee..Ni kweli lakini muda mwingi munautumia kuishammbulia Tz na boder zake na kwamba hatujafanya lolote kuhusu lock down, sasa huo muda elekezeni kusaidia wahanga wa mafuriko na locusts kuliko kusubiri data za corona.
Hahaa!!insha yote hii kumbe umeandika pumba tu, kwn unafikiria zile stesheni zimejengwa kw ajili ya kuhudumia miaka miwili mitatu..Ndiyo hizo ndio station za SGR yetu au wewe unataka ziweje? Sisi hatuna akili za matope kama nyie ambao mna-invest mahela kibao kujenga decorated stations maporini ambako abiria ni kiduchu badala ya hizo hela ku-invest kwenye electric trains. Sisi hela zetu nyingi tumeinvest kwenye electric trains badala ya kui-invest mahela kibao kwenye station hizo ndogo ndogo.
Kama mtataka kufanana na sisi (eletric trains) itawacost sana kuliko sisi itatucost fedha kidogo kulinganisha na nyie kama tukitaka kumodify hizi stations dongo kama tutaona kuna ulazima wa kufanya hivyo in future. Tunachohitaji kwa sasa ni performance nzuri ya railways zetu both SGR na MGR. (We think and Act Big)
Hasira mbaya aisee[emoji23][emoji23][emoji23]Una akili za chang'aa wewe na wenzako huko kunyaland ndio maana mnanua trains za mwaka 1920 zenye vichwa vya mbogo.
Hahaha!!june hii hapa na bado mpo sijui 75% tena hapo mli postpone uzinduzi miezi km 7 iliyopita..Mbona unawashwa sana? Sio kwamba hata utafaifika na reli yetu utaishia tu kuiona kwa macho
Kabla ya kulialia ungelituonyesha kwanza treni zenu mlizonunua..Usijipe matumaini ya kipuuzi. Hiyo ni treni ya mkandarasi. Huu ushuzi Ndio mnao halafu unakuja hapa kufuata mambo yasiyokuhusuView attachment 1450018
Tia dua tu, huenda maombi yako yakakubaliwaIla hii kitu lazima Wakenya mpigane tena, nyie subirini muone, cku tunalizindua haitapita miezi sita bila ya Wakenya kuchinjana [emoji3][emoji3]
Tuonyeshe hzo picha za hyo treni yenuTunakukaribisha siku hiyo ili uone reli ya kwanza ya kisasa na inayotumia umeme afrika mashariki na katiView attachment 1450013
Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo treni ya trc[emoji23][emoji23][emoji23]Ndo hzo hzo zinazo operate hii hapa train ya umeme [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1450011
hapa sasa mna tafuta kuwekewa vikwazo na jirani mbali na figisu vya korona πππHapa km naliona chata letu pendwa TRC afu chini lazima iwe na jina mfano utakuta moja imeandikwa OLDUVAI GORGE - HAPA KAZI TU[emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116] the first electric train in the regionView attachment 1450004
kwamba wabunge wapinzani wamezuiliwa lakini hujui chanzo πππ
munatangaza huku munalia ππππNa tutaendelea kutangaza kote kote, hapa kutangaza tu..mpende msipende tutangaza
Sent using Jamii Forums mobile app
When this towers will happen to be constructed, NBO will be lit [emoji91] View attachment 1449118will be lit
View attachment 1449132View attachment 1449133View attachment 1449134View attachment 1449135View attachment 1449136View attachment 1449137View attachment 1449139View attachment 1449141View attachment 1449143