Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tutachukua hata km itafikia 150%, unafikiria hilo litakua deni la east africa[emoji23][emoji23][emoji23]

Mbona ikuume jomba, kukopa tutakopa tu hata nynyi hamjakatazwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa km naliona chata letu pendwa TRC afu chini lazima iwe na jina mfano utakuta moja imeandikwa OLDUVAI GORGE - HAPA KAZI TU[emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116] the first electric train in the regionView attachment 1450004
Halafu kiaina Treni zitakapokuwa stations zikipakia zitakuwa detached from catenary

Angalia track ya platform haina overhead power! Nilikuwa najiuliza hiki kitu!



MY TAKE
Hili dude linaweza kufika Uganda hata kama SGR yao haitakuwa electrical! Mpaka Mwanza then ndani ya wagon ferry mpaka Port Bell then few 11 km ndani ya Kampala kabla ya kugeuza.

 
Vipimo ni feki[emoji23][emoji23][emoji23]
Nashngaa basi mnataka wabunge wakapimie na hvyo hvyo vipimo ambavyo vinasema mpka mbuzi ana corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww unaeza ukatoa maneno ya kishujaa km hayo ili kujifariji tu, ila serikali yako inakosa ucngz juu ya Tz, yn hamuezi kaa siku moja bila kuzungumzia Tz lkn media za Tz zinajali mambo yao wala huwezi ckia wakiongelea kenya cz haitishi [emoji3][emoji3]
Zinajali au zimetiwa kibindoni na jiwe[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hamjielewi km mnataka nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…