Nixcie ni fukara mno. Kwanza proof nyingine kuwa hiyo nyumba sio yake Ni kuwa picha za nyumba alizoleta hazifanani quality. Hiyo nyingine sijui kapiga picha kwa camera ya blackberry??? 🤔 Kama ingekuwa nyumba yake, angepiga picha zenye quality moja. Usikute kaokota kwenye internet 😂😂🙆🏾♂️
Kila step anayopiga jiwe,na dunia inaenda mulemule
nilijua hili jambo linautata mkubwa sanaTushawastukia [emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]
CORONA: Madereva wagoma kupimwa mpakani “tunawataka Madaktari Watanzania”View attachment 1449807
Hapo mambo ni mawilinilijua hili jambo linautata mkubwa sana
Upo sahihiHapo mambo ni mawili
1. Vipimo vyao ni feki
2. Wana ajenda ya siri dhidi ya Tz
Hilo la kwanza siamini cz km ni feki kwnn vitoe majibu ya positive kwa madereva wa Tz tu, yn wakipima madereva 27 basi hapo vipimo vitasema 24 ni WaTz, 1 Uganda, 1 Kenya, 1 Rwanda.
Hilo la pili ndvyo nnavyodhani mm, kwmb Wakenya wanafanya hila dhidi ya Tz cz wanaumia kuona cc uchumi unaenda tu japo kipindi hiki cha Corona na ilihali hatufanyi km wao walivyoamua kuwaiga mabeberu, so ni wivu, chuki na fitina tu ndo zinawasumbua.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
labda uwaoneshe na render yake maana wanaeza wakafkiri ni kadaraja kadogo👇👇👇👇👇Tunatekeleza [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Ujenzi daraja la kisasa Wami 37.5%View attachment 1449815
ahahaha munahangaika na tanzania wakat uharo unawatoka kwenu😂😂😂😂Tunatangaza kote kote, media zetu hazijawekwa kibindoni..
Km media zenu hazina uwezo huo watulie tu, naona jana geza akizikejeli katika post yake flani ya sgr[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
uhehehehe umekasirika tayar👏👏👏😃😃Hahaaa!!hapo ndipo elimu imekufikisha, hata maana ya janga la taifa kumbe hujui
Sent using Jamii Forums mobile app
ahahaha soma taarifa uelewe kwanza sio kudandia treni kwa mbele 😂😂😂Nielewe km mlisema vifaa na vibovu, au wabunge wakapimwe tena na hvyo hvyo vifaa ambavyo jiwe haviamini..
Sent using Jamii Forums mobile app
mm nasema wana agenda ya siri dhidi ya tanzania mark my words😂😂😂Hapo mambo ni mawili
1. Vipimo vyao ni feki
2. Wana ajenda ya siri dhidi ya Tz
Hilo la kwanza siamini cz km ni feki kwnn vitoe majibu ya positive kwa madereva wa Tz tu, yn wakipima madereva 27 basi hapo vipimo vitasema 24 ni WaTz, 1 Uganda, 1 Kenya, 1 Rwanda.
Hilo la pili ndvyo nnavyodhani mm, kwmb Wakenya wanafanya hila dhidi ya Tz cz wanaumia kuona cc uchumi unaenda tu japo kipindi hiki cha Corona na ilihali hatufanyi km wao walivyoamua kuwaiga mabeberu, so ni wivu, chuki na fitina tu ndo zinawasumbua.
Endelea kukosa usingizi ju ya kenya na kufatilia kenyan media 24/7Nop u r 61% now as far as debt to GDP ratio n ur former finance CS Rotich n ur governor Njoroge said u can still push it to 79% so u have 18% space still!
Now this is what happened to Rotich
I am now waiting to find out Njoroge's destiny
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
imepenya hiyo! Truth and only truth! siku hizi hamthubutu ku-forge 😂 😂 😂 😂 ☝Endelea kukosa usingizi ju ya kenya na kufatilia kenyan media 24/7
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha unajitekenya bure ukidhani kuna mtu anajali...huezi niona nikifatilia Tanzanian news kama unavofanya na nikishinda Tanzani section coz i have a life..kinachokusumbua wewe na ndugu zako ni inferiority complex na haina tiba ni kuachwa tu mumwage pumba mkichoka mwishowe mtalalaimepenya hiyo! Truth and only truth! siku hizi hamthubutu ku-forge [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121]
BTW ile blog yako ya kifalafala iliishiaga wapi?
cha ajabu kila ukiingia humu lazma uangalie nime-post nn!Haha unajitekenya bure ukidhani kuna mtu anajali...huezi niona nikifatilia Tanzanian news kama unavofanya na nikishinda Tanzani section coz i have a life..kinachokusumbua wewe na ndugu zako ni inferiority complex na haina tiba ni kuachwa tu mumwage pumba mkichoka mwishowe mtalala
Sent using Jamii Forums mobile app