Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,852
- 103,715
, asije akawa anasukuma hiyo ndinga ya shule J/K
View attachment 1448810
View attachment 1448812
View attachment 1448811
Sent using Jamii Forums mobile app




Nimecheka sana. Kweli kabisa I see yaani jamaa hata ukiangalia vizuri pozi lake kwenye kiti amekaa mkao wa kunyanyuka muda wowote maana gari ya bosi wake any time inaweza piga honi getini! 😀 😀 😀 😀 😀 😀Umekaa gatekeeper wacha mbwembwe rudi getini!
design kavaa T-shirt ya promotion ya Wasafi TV halafu yupo humu anaponda TZ huku Wasafi TV wanamvisha!Nimecheka sana. Kweli kabisa I see yaani jamaa hata ukiangalia vizuri pozi lake kwenye kiti amekaa mkao wa kunyanyuka muda wowote maana gari ya bosi wake any time inaweza piga honi getini! 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Tano tenanchi imekufa hio![]()

Muda huu shule zimefungwa atakuwa mlinzi! Inabidi tumu-expose saa ya kazi yupo online Jamiiforums!, asije akawa anasukuma hiyo ndinga ya shule J/K
View attachment 1448810
View attachment 1448812
View attachment 1448811
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ukitaka wachanginyikiwe na ku-panick, JPM aitishe press na kutangaza kufunga mipaka na Kenya! Kwa matatizo waliyonayo sasa kuanzia floods, locust invasion i.e. hunger na sasa coronavirus ukiachilia mbali power struggles ndani ya Jubilee, Uchumi uta-collapse! I see their debt to GDP ratio crossing 70%!
Vitu vya msingi kama hivi huwa hawana muda nao kabisa wapo busy na Tz 😂😂😂komora096 njoo tuongee plz😂😂😂😂
Failed state 😂😂😂
mm hua sibishani kwenye vitu vyangu bado ntakuonesha vipo vingi vinakuja kaa mkao wa kula![]()


Hahahaa!!eti dereva![]()
![]()
Mngejua tu vile nafurahi mnavyokasirika! Inawauma kweli! Poleni lakini. Kwa hivyo Ichoboy pia ni dereva ameandikwa wa ile gari anapost hapa?


Kaka biashara ya ndege haiko hivyo, sasa hivi route za Ulaya na Marekani zimeshikwa na mashirika makubwa kama KLM, Emirates, Qatar, ET, Fly Dubai na mengine, kumbuka hats British Airways iliamua kusitisha safari zake kuja Dar kutokana na uhaba wa abiria na mizigo, sio busara kuanza na hizo routes, very Competitive.i’m sure they’re taking notes rn, lazima tupambane asee, resources za kupeleka nje zipo nying sana nchini kwetu