Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wao that's cool,is completely new fashioned city,the silicon savanna
They work night and day. The Committee relocated to the new offices at Konza and now work is serious. Those photos were taken yesterday.

They are working faster as the Tech University of Korea is about to start construction in coming months. One pic I posted shows construction of Data Center
IMG_20200510_184255.jpg

Going to be the biggest modern and state of the art in Africa.
 
Yaan Dar ukiacha hizi what we call our dream houses lakini bado kuna massive low income people still wanabanana uswahilini which is ndio nakubali ni bora kuliko slum za wakora ila ukiangalia jamaa kuhusu malazi wametuacha hatua kadhaa, ila sio mbaya tukiendelea kukaza....

look at their estates ni superb, tunaweza fanya hizi nyumba zetu za uswazi ziwe at least kama zile za Pipeline Estates.....
culture ya huku ni tofaut kabisa na kenya, kenya ardhi hakuna ndio maana unaona anaeza kuja mgeni aka invest estates alaf akaacha wakipangisha lakini akili ya kumiliki ardhi na kujenga haipo kwenye ubongo wa mkenya, hebu chukua nafas yako siku moja uende maeneo ya chamanzi mpaka mbande alaf zunguka mpaka utokee chanika ukaone watu walivoangusha madude ndio utafahamu nini tunazungumza hapa
 
They work night and day. The Committee relocated to the new offices at Konza and now work is serious. Those photos were taken yesterday.

They are working faster as the Tech University of Korea is about to start construction in coming months. One pic I posted shows construction of Data Center
View attachment 1446713
Going to be the biggest modern and state of the art in Africa.
where is konza construction going on wanjala usifanye watu kama watoto humu ndani😂 hvi konza mumejenga nn leo zaidi ya miaka 10
 
Yaan Dar ukiacha hizi what we call our dream houses lakini bado kuna massive low income people still wanabanana uswahilini which is ndio nakubali ni bora kuliko slum za wakora ila ukiangalia jamaa kuhusu malazi wametuacha hatua kadhaa, ila sio mbaya tukiendelea kukaza....

look at their estates ni superb, tunaweza fanya hizi nyumba zetu za uswazi ziwe at least kama zile za Pipeline Estates.....
Andika ueleweke unacho sema siyo unaandika kama unataka kuzaa

Send by APOLO 1
 
Back
Top Bottom