Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hyo ndio unalinganisha na mount kenya university[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine
IMG_20200507_140739.jpg
 
hii US $3bn si tunajenga electrified SGR kutoka Makutupora hadi Mwanza? [emoji1241]
Kwa serikali corrupt ya Kenya hii $3bn inaweza ikajenga tu 150 km ya SGR then game over halafu SGR yenyewe ikawa ya kiwango cha kawaida sana + Mitungi ya chang'aa! Corrupt leadership always put their empty stomach first before anything else!
 
zile story za Tanzania haina miundombinu nzuri ya kutunza au kuzuia mafuriko hasa pale jangwani na kusema kenya mko vizur kuzuia mafuriko ziliishia wap? mpka sasa watu 214 kenya wamekufa kwa mafuriko
washaliita janga la taifa tayar sasa wana majanga matatu ya taifa
corona
floods
locusts
 
Hili jengo nalikubali sana. Ni design huwezi pata Afrika nzima. Kama lingekuwa posta ingekuwa kheri. Hapa wakipolijenga hapana. Huliendani na maandhari
Posta kupata eneo kubwa kujenga jengo kama Hilo Ni almost impossible. Unless ulipe pesa nyingi sana kununua land na ulipe wamiliki wa majengo yatakayobomolewa kupisha ujenzi. Sio mbaya kwa hilo jengo kuwa hapo yawezekana kuna mengine yatakuja kuungana nalo.
 
Back
Top Bottom