Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa vs Dar es sluum
ushuzi wenyewe ndio huu😂😂👇👇
AE69048C-BA57-4B12-B57B-D2D6F315D27D.png
 
Woiye,wacheni kuficha taarifa za corona, hii kitu itawamaliza,watu wafa sana na si vizuri,jitokezeni na mtetee nchi yenu despot magufuli ataharibu hii nchi

magufuli anaakili sana ndio maana hamuna hamu nae nyinyi😂😂😂 kawatandika bakora kila kona
 
Woiye,wacheni kuficha taarifa za corona, hii kitu itawamaliza,watu wafa sana na si vizuri,jitokezeni na mtetee nchi yenu despot magufuli ataharibu hii nchi

kwanza shugulikeni na upuuzi huu alaf urudi👇

Ni habari tu nimewaletea sababu naona wengi wenu hamjui kinachotokea mitaani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mitaa gn hyo mkuu mana cc ndio tunaoishi kwenye hyo mitaa, na kwa taarifa yako hyo corona uku kwetu ishafeli watu washaizoea wanapiga mishe km kawa, ila kwenu naskia mshafka kwny 800 soon mnaingia kwenye 1000[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom