El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Mafans wameanza kuingia...[HASHTAG]#mashemeji[/HASHTAG] Derby manenos
That's a damn killing truth!
are u sure dar is 9 billion usd au unafurahisha baraza😀😀😀😀😀😀😀😀Nairobi 32$ billion
Daresal 9 $ billion
what are we really comparing here and the difference is as clear as day and night
karibuni sana jiji la maraha na utulivu EA.dar es salaam.Mafans wameanza kuingia...[HASHTAG]#mashemeji[/HASHTAG] Derby manenos
![]()
Loan tunalipa na 1.17 years my friend tunakuaga tumejipangafanyeni kazi mutafute 3.2 billion usd za wachina za reli kwanza...ili mujue inazalisha profit au loss😀😀😀😀😀
Vipi ule mkopo wa kujenga SGR uliokua mumeomba kutoka Chad umeisha ingia ama bado magu ako kwenye harakati zake za kuisoma nambafanyeni kazi mutafute 3.2 billion usd za wachina za reli kwanza...ili mujue inazalisha profit au loss😀😀😀😀😀
nilikwambia phase1 from dar to morogoro ujenzi ushaanza kwa fedha zetu1.2 billion usd kwanzia phase 2 ndio we look for loan huku raisi wa turkey amefadhili km 400 tayri haha tunakuja kiutamu😀😀😀😀😀😀😀Vipi ule mkopo wa kujenga SGR uliokua mumeomba kutoka Chad umeisha ingia ama bado magu ako kwenye harakati zake za kuisoma namba
kwanza nairobi na kampala ikiisha hio uje kwa baba yenu dar😀😀😀😀😀😀Ile battle ya Daresalaam vs Kampala iliishaje?
hahahaha umejipanga wakati wachumi wenu wanakwambia mkopo huo mutalipa zaidi ya 10 yrs😀😀😀😀😀😀Loan tunalipa na 1.17 years my friend tunakuaga tumejipanga![]()
Kampala ni pazuri kuliko Dar and Nairobi combined ar you happy now?Kampala looks way better than Daresalaam honestly. ...mimi siangalii towers za kuziba watu macho....just look at the beauty
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/65c0b76f054240fd7c
7fe750572159e0.jpg
![]()
![]()
Hehehe. .....kwa barabara Dar haina sauti mbele ya Kampala. Hapo mmepigwa goli safi...Kampala ni pazuri kuliko Dar and Nairobi combined ar you happy now?