ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
wewe kama una pesa za kutosha vuka boda njoo tz ule bata,acha kusikiliza maneno ya watu.![]()
Kadoda this food doesn't look yummy. ....too dry. Ama ndio yule mtalii alisema chakula cha bongo imekaushwa kiholela juu juu kwa makaa. ....who has that piece? Hehehe
Nairobi skyline now POWERED by Projector Britam Lighting
![]()
source__________________
__________________
anazileta tanzania kwenye jiji la pleasure kuja kutumia😀😀😀😀😀220 Million X 21 = Tzs.4.6 Billion
Honestly there are better ways to give opinions, uliza tuusan ako better off.. Pia kadoda11 but you are quite unique😀😀😀😀😀 unataka kunipa nyako maber nioe
Manze acha kupost hizo saa hii tutahisi njaa... You should censor them instead...wewe kama una pesa za kutosha vuka boda njoo tz ule bata,acha kusikiliza maneno ya watu.
forget the expensive dishes in 5 star hotels,here are rondom photos of local food available in the streets of dar es salaam.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
the nyama choma festival in dar.katika sherehe zetu bila nyama ya mbuzi ni kama hamna sherehe
I tell you heheManze acha kupost hizo saa hii tutahisi njaa... You should censor them instead...
That's quite salivating!
lazima niwe hvo kwasababu mkuki mchungu kwa binaadamu na sio kwa nguruwe😀😀😀😀😀😀😀Honestly there are better ways to give opinions, uliza tuusan ako better off.. Pia kadoda11 but you are quite unique
you are pathetic my friend...lazima niwe hvo kwasababu mkuki mchungu kwa binaadamu na sio kwa nguruwe😀😀😀😀😀😀😀
Mnafanyia nini mbuzi jo hahathe nyama choma festival in dar.
![]()
![]()
Halaf wanjala na SGR sema nn yetu nayo inakuja tulia Ichoboy01 akusanye ma vitu yake kama hamjapoteana. Tatizo lenu majirani mnadhani Tiz ni ile ya Nyerere mnafeli wanjala mwambie na Lewis254 anapoteana kwa fikra hizo kongwe
Pain in the ass.. The kibera guy.. But anyway every town has its......you are pathetic my friend...
mimi mwenyewe mdomo umejaa mate manze....misosi mitamu sana hiyo.Manze acha kupost hizo saa hii tutahisi njaa... You should censor them instead...
That's quite salivating!
Mnafanyia nini mbuzi jo haha
Kumbe sosi ni Kiswahili sanifu nilidhani ni sheng' lolmimi mwenyewe mdomo umejaa mate manze....misosi mitamu sana hiyo.