Tafuta news wakati mumekuw na msiba., ili limewai jadiliwa humu jf wakati moja, pengine wewe ni mgeni., Uhuru Kenyatta amewai toa pesa sio mara moja kaka., fanya utafiti..πππLini serikali yenu ilitoa msaada kwetu? ππππ
Google muoneπππNa mie nasubiria jibuuu
Uko idle sana unashindaga twitter ukitafta vitu za kupost hapa...Plse salute el mejor the hustler!
Naona umehamisha magoli kwenye poverty,M
Mbona over 70% ya Dar residents are poverty stricken?., nyie bado sanaa, kama many African countries, ila wengi wenyu ni hovyo EAC na SADC (simaanishi sisi tuko nafuu, sisi tunakubali mapungufu), jitahidi mtafaulu, hasa vijana wachangamke, si kuzubaa kwa beach na kuweka vipicha vya Oyster Bay hapa na kwao bara kijijini bado wako matopeni.,
Nyie ni wachoyo, roho mbaya kama wachina tu., kuna sehemu niliona wanyarwanda wakilalamika vile wanakwaya wao walipopata ajali Tanzania hawakupata usaidizi, ilibidii Rwanda itume msaada, wengi waliaga., did you know?, I watched on Citizen tv one time, kikundi cha akina mama cha kikanisa walikua wanaenda mkutano Tz wakapata ajali, raiya walikataa kuwasaidia walitaka wapewe pesa eti., natafuta hiyo taarifa., kwa kweli ni nani aliwaroga nyinyi?., mwaka jana ama juzi kuna kikindi cha vijana walikua wanasafiri kuelekea Uganda, basi lao likapata ajali Nakuru, karibu na black spot ya sachangwan, wawili walifariki, good samaritan Kenyans walisafirisha majeruhi hadi Nakuru mjini kwa matibabu na maiti zikapelekwa mortuary., wale walio baki walipelekwa Nakuru free of charge.,Lini serikali yenu ilitoa msaada kwetu? ππππ
U shud have said that it was just a condolences.enya donates KSh 5.5 million to Tanzania for families of over 200 victims killed in ferry disaster
Written by Erick Kombo Ndubi
Updated a year ago
- The money is meant for upgrade of local health centres, assist survivors and construct a memorial centre
- In September 26, MV Nyerere ferry sank in Lake Victoria causing death of over 130 people
- The government ordered arrest of the ferry management over negligence
The government of Kenya has moved in to support Tanzania with KSh 5.5 million donation for the families of the MV Nyerere ferry disaster.
Handing the cheque to President John Pombe Magufuli, Kenyan Ambassador to Tanzania, Dan Kazungu, said the money will support the survivors and upgrade local health centres.
Send 'NEWS' to 40227 to receive all the important breaking news as it happens
READ ALSO: PriceWaterHouseCoopers employee jumps to death from 17th floor in Nairobi
Zunguka Afrika nzima uliza mtz ni nani utaambiwa, watanzania wanaheshimika Afrika nzima kwa utu, unyenyekevu, uungwana, upendo na kujali, ss hizo lawama zako cjui unazitoa wapi, eti WaTz wana roho mby af Wakenya ndiyo watu safi damn!! hata ww mwenyewe unajishangaa unavyoongea utumbo humu, upendo wa watanzania ni wa enzi na enzi hamuwezi kuupata hata iweje, na ndiyo maana huku hatuna civil wars km nyie, leo nmecheka sn [emoji3][emoji3] eti mkenya ana roho nzuri kuliko mtz dunia simama nishuke, yn mnachukiana wenyewe kwa wenyewe af ndo muwapende wageni...smh [emoji3][emoji3][emoji3]Nyie ni wachoyo, roho mbaya kama wachina tu., kuna sehemu niliona wanyarwanda wakilalamika vile wanakwaya wao walipopata ajali Tanzania hawakupata usaidizi, ilibidii Rwanda itume msaada, wengi waliaga., did you know?, I watched on Citizen tv one time, kikundi cha akina mama cha kikanisa walikua wanaenda mkutano Tz wakapata ajali, raiya walikataa kuwasaidia walitaka wapewe pesa eti., natafuta hiyo taarifa., kwa kweli ni nani aliwaroga nyinyi?., mwaka jana ama juzi kuna kikindi cha vijana walikua wanasafiri kuelekea Uganda, basi lao likapata ajali Nakuru, karibu na black spot ya sachangwan, wawili walifariki, good samaritan Kenyans walisafirisha majeruhi hadi Nakuru mjini kwa matibabu na maiti zikapelekwa mortuary., wale walio baki walipelekwa Nakuru free of charge.,
Alitoa rambirambi au msaada πππTafuta news wakati mumekuw na msiba., ili limewai jadiliwa humu jf wakati moja, pengine wewe ni mgeni., Uhuru Kenyatta amewai toa pesa sio mara moja kaka., fanya utafiti..πππ
Hizo huduma ziko wapi? , unadhani sitazami taarifa kutoka kwenyu., mko ovyo corona imewafumania., hali ya raiya wengi ni duni, sie tunawepeupe ndio inaonekana vile,njoo uishi Kenya uone uiNaona umehamisha magoli kwnye poverty,
Huku pia nitakupa kichapo hadi uhamie pengine πππ
Poverty na hawalali kwenye mabanda ya mabati,
Poverty na hawapewi misaada ya chakula kila mwaka,
Poverty na wana huduma bora za afya na maji safi,
Saa nyingine usipende kuendeshwa na mihemko na kutumia makwapa kufikiri.
Yenyu ni ya kinafiki, wenyewe kwa wenyewe mnachimbana, kwa nje unacheka na mwenzako akiondoka ni udaku tupu., umbeya ndio yenyu.,Zunguka Afrika nzima uliza mtz ni nani utaambiwa, watanzania wanaheshimika Afrika nzima kwa utu, unyenyekevu, uungwana, upendo na kujali, ss hizo lawama zako cjui unazitoa wapi, eti WaTz wana roho mby af Wakenya ndiyo watu safi damn!! hata ww mwenyewe unajishangaa unavyoongea utumbo humu, upendo wa watanzania ni wa enzi na enzi hamuwezi kuupata hata iweje, na ndiyo maana huku hatuna civil wars km nyie, leo nmecheka sn [emoji3][emoji3] eti mkenya ana roho nzuri kuliko mtz dunia simama nishuke, yn mnachukiana wenyewe kwa wenyewe af ndo muwapende wageni...smh [emoji3][emoji3][emoji3]
Unajaribu kupamba uswazi lakini hakuna mahali popote duniani utapata mji tajika na such level of informality kama dar.....yani you have the 5% cbd(which is less than 10km^2) and 70% ni uswaziyes i see estate wapi nyumba anazomiliki mkenya kama dream house yake naomba nizione leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au munasubiri investors wajenge alaf nyie mukodi alaf dream iishie hapo
Corona imetufumania kivipi?Hizo huduma ziko wapi? , unadhani sitazami taarifa kutoka kwenyu., mko ovyo corona imewafumania., hali ya raiya wengi ni duni, sie tunawepeupe ndio inaonekana vile,njoo uishi Kenya uone ui
QUOTE="babayao255, post: 35215382, member: 545870"]
Corona imetufumania kivipi?
Uduni ni nini?
Opinion and projection., not reality per'se., tembea tu, unakaribishwaCorona imetufumania kivipi?
Uduni ni nini?
Donation ni nini?., nyie mumewai tuma?., sasa tumekua na landslide, hakuna taarifa kutoka Tz., ajali ya moto ya lorri ya mafuta Tz Uhuru alituma rambi rambi., si lazima murudishe ile nawaonyesha mulivyo wabinafsi.,Alitoa rambirambi au msaada πππ
Mwanamume wa EAC huyo kaonge sio marais wengine Kama jirani zetu hawatumii ubongo wanafanya kaz ya kucopy na kupeste bila kuaangalia huyo anaemuiga anahali ganiA remarks of hope