Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aerial view from the far end ya mama Ngina Drive, sijapaona mahali popote, nadhani kwa sababu ya state house around that area, pale skyscraper zimeinuka kuruka, Kizingo arae., kupiga picha unaweza shikwa.,
Wacha kupiga picha bro, ile pita pita tu mitaa ile ni noma..
Nilishawai chukua baiskeli yangu na kuamua kuzunguka hzo area, sasa nikawa nakatiza hyo barabara ya statehouse hadi florida na kurudi mpka uhuru na kazi..

Ndugu yangu trip ya nne wale ndume walinisimamisha halafu wakanitia mikwara sana..km sio id ya kazi mimi sai kwishnehi..nashuku walikua recce wale jamaa manake sio kw zile mbwembwe na roho mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huu ndio mwaka wa mwisho mm nimeskia cholera tanzania 2016πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Heheheheheeee ss c bora uku, naipori ukitoka mita chache tu unakutana na maeneo ambayo hata zombie hawezi ishi [emoji3][emoji3]
 
Aerial view from the far end ya mama Ngina Drive, sijapaona mahali popote, nadhani kwa sababu ya state house around that area, pale skyscraper zimeinuka kuruka, Kizingo arae., kupiga picha unaweza shikwa.,
Kuhusu mijengo ya kupaa sai usiulize pale junction ya kukupeleka statehouse kurudi nyuma hivi mpka mwanzo wa florida..
Ni vile tu kupiga picha ki senge senge panaogopesha...

Manake hata wale wauza kachiri si ajabu wanasoma upepo tu na kutuzengua sisi raia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hutapata hio link mark my words πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
tanzania inakunyima usingizi wewe
huyu ni mzungu sio mm broπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ kwa lugha nyingine inaitwa google earth live bila chengaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
View attachment 1438031
Sioni kikubwa hapo, few pockets of slums in comparison na other areas., nyie slums mixed na unplanned settlements na mashambani(nyumba na boma za kiswahili, style ya vijijini kule bara) ndani ya Dar ni almost 90%, aerial view ni aibu tupu. Google earth mwenyewe ujionee, mtanzania hawezi amini ukweli inayo mkera.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚
Pole kwa masaibu yako bro... Recce Squad ni hatari
 
fika kwanza hapo kwanza alaf uniulize nyumba yangu iko wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huwez kumiliki mwezi trust me
Sawa umeshinda basi but just know that I don't live in a dream house like you do
 
[emoji23] [emoji23]
Pole kwa masaibu yako bro... Recce Squad ni hatari
Aaaa!!we acha tu, yani siku hyo nilishukuru sana...
Mwngine alikua akiwambia mwenzake km "tunasubiri nn huyu jamaa ni gaidi na hana niya nzuri, si tumzungushe kule nyuma tumlishe shaba"

Yani nilijiskia mishipa yote imesimama, vile tu sikuwa na camera..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana wa tandale, sina utoto huo wako wa kupost vitu nizomiliki mitandaoni kwa watu wenye hata siwajui. Even if I owned the moon I wouldn't engage in such childish acts
Mbn ulipost picha yako humu wala hatujakusumbua sumbua
 
heheh fikia level ya kumiliki kitu kama hii kwanza ukiweza nitafute[emoji23][emoji23][emoji23]

garmin 5x plus saphire[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1437977View attachment 1437978View attachment 1437979
Wale ma gangster wanalishwa shaba na hessy ndio wanapenda sana show off ya vitu km hvyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]huaga wana post vitu km

Mara misaa ya gharama, cheni za dhahabu na almasi, meno bandia ya bei, pesa nyingi na bastola

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heheheheheeee ss c bora uku, naipori ukitoka mita chache tu unakutana na maeneo ambayo hata zombie hawezi ishi
Kama umefika Nairobi, nielezee kutokea upande wa Mombasa road kule Athi River wapi utapatana na slum?., weka hapa., haya from western Kenya ukiingia Nai nihesabie slums unazokutana nazo, from Thika, along Thika road weka?., Dar is technicaly a village blended with modernity and slummish lifestyle, of which makao duni ni mingi mno! ZAIDI YA 70%., you cannot be ranked anywhere globaly! Shame! Afadhali proportion ya Arusha., iko somehow balanced. Bure kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kenya recorded 5,052 cases of cholera in 2019, the third highest outbreak in Africa

Data published by the World Health Organisation (WHO) this week shows efforts to control cholera in Kenya have largely failed, and cases have jumped from 3,967 in 2017 to over 5,000 last year.

Kenya is ranked third after DR Congo and Somalia. It is among seven countries in Africa which reported cases of cholera in 2019.
 
Tanzania haipo ju ya kificha majanga., North Kora/China ya Africa. Cholera ni cholera, mlikua mnadai eti ilimalizika duniani, Tanzania hakuna cholera, nyambaf!πŸ˜‚πŸ˜‰πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wakenya hii battle kwakweli imewalemea sn yn mpk mnatupangia maeneo ya kuwaonesha eti "nieleze kutokea upande wa Mombasa road kule...." We jiamini, niambie nkuoneshe slums za nairobi, mfano mtz anavyojiamini, km mm nakupa uhuru unioneshe slums za Dar, popote unapotaka ww nioneshe slum Dar [emoji3][emoji3]
 
Kila kitu tunaweka wazi, expose a snake to kill it, ficha maradhi ufe. Tanzania ole wenyu! #corona #covid19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…