Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hao watu wa mtaani nani kawapima, jamaa mbona msiwape nafasi madaktari wazawa wafanyie test hvyo vitu km je vina madhara baada ya matumizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasubirini hao wataalamu mpk wathibitishe cc tunatumia tu na tunapona, hao wataalamu wenu c huwa wanawaambia kuna baadhi ya magonjwa hayana dawa? Mwafrika bhn kweli akili ndogo[emoji3][emoji3]
 
Ukweli inakuuma sana, corona imewaumbua. Nchi ovyo, nawa hurumia tu. Weka vipicha vya Dar niburudike na uzuri (precisely the few developed selected area, the rest 90% tunakujua) flyovers zimefika ngapi?.,
Unatumia kichwa kuwaza au kama kifuniko cha mwili.
 
Atakuletea picha moja ya Ilala yenye ameshinda akileta hapa kila siku
 
Leo umeleta picha bila make up mzee, safi sana n that is real Nairobi [emoji3][emoji3]
Screenshot picha ya makeup yenye Nimewahi leta hapa kijana wa tandale. Nilishakuambia wewe kazi yako ni kutapatapa tu
 
upperhill ina density gani hvi nyinyi mwatufanya sisi wageni nairobi au hatuna akili hvi munajua maana ya density 😂😂😂😂
Maana ya density ni kama zile tugorofa viwili vya Kijikonyama 😂 😂 😂
 
Hehehe,hi ni nini sasa,huwa najiuliza kwani ilala huwa na picture moja tu,if unajiamini na ilala inaweza chapa parklands, bring it over with another aerial view like this boy
View attachment 1437094
Yani parklands alone is way better than ile kijikonyama yao tunaimbiwa hapa usiku na mchana. There are tall buildings all over. kijikonyama kuna vigorofa viwili along stretch moja ya barabara halafu tunapigiwa kelele hapa
 
[emoji3][emoji3] imekuuma eehh, hyo ni makumbusho jombaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…