Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mtu atamzushia ndugu yake kifo kweli..
Endeleeni kuficha halafu mseme pumu wakati amana sai kunajulikana ni sehemu ya nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu atamzushia ndugu yake kifo kweli..
Endeleeni kuficha halafu mseme pumu wakati amana sai kunajulikana ni sehemu ya nn

Sent using Jamii Forums mobile app
kwan vifo havikuwepo kabla ya corona au magonjwa hayakuwepo kabla ya corona waty wanachoogopa sasa hvi ni kwamba mtu akifa lazma serekali ikamchukue kwa ajili ya vipimo ndio maana watu wanazika kimya kimya
 
Amana wagonjwa wa pumu watoke wapi na wakati walihamishwa tayari kumebaki wa corona tu..
Au unapingana na waziri wenu km amana pia bado kuna wagonjwa wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
sio kila anaekufa ni corona musiliete upuuzi wakat kbla ya corona kulikua na vifo pia leo kifo kimekua kitu cha ajabu ???
 
huyo aliefariki jana alikuwa mzima, amepata shida ya kupumua siku mbili tu za nyuma jana ndo kafikiwa na umauti,

kama haijakutokea utaona kama ni utani, ila likikutokea ndo utaamini. mim mwenyewe nilikuwa naona ni utani
Mkuu hyo story yako bado hawatoielewa, mwisho watakuona ni km unaeneza propaganda..
So we tulia na ukwel wako tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha kutetea ujinga wewe, maraisi sai wapo sehemu zao husika...
Unataka kusema ikulu ya chato ndio main

Sent using Jamii Forums mobile app
uhuru anaponesha wagonjwa ??? au anakwenda hospitalini kuwatembelea wagonjwa??? si muda wote yupi ikulu amekaa anahutubia kua mutapoteza ajira laki tano😂😂 muvumilie
 
hebu tuoneshe hzo kariakoo ndani ya nairobi tuzione[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hio upanga ina density kubwa zaidi ya CBD + westland + upperhill combined hehehe alaf unazungumzia kariakoo ndio kabisa hugusi hata ukucha
Umeshindwa kuleta sehemu nyngone zaidi ya hzo tatu sio[emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…