ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
na vp kuhusu jubilee imewafkisha wapi 😂😂Mwana CCM nakuona., propagandist regime, imefilisisha watanzania kwa kuapumbaza tu., ole wako.
na vp kuhusu jubilee imewafkisha wapi 😂😂Mwana CCM nakuona., propagandist regime, imefilisisha watanzania kwa kuapumbaza tu., ole wako.
👇👇👇👇👇👇Watanzania, ingieni hapa muone mjadala unaondelea hapa ya Watanzania wenzenu ambao hawajapumbazwa na uzalendo Kama nyinyi. Msije mkasema ni wakenya kama ilivyo kawaida yenu
Kwa sasa Kenya wanauwezo wa kupima watu 35,000 kwa siku, huku Tanzania uwezo ni 500 kwa siku, ni aibu na fedheha kwa taifa tajiri kama hili - JamiiForums
The problem is that you actually believe that a Kenyan has the whole time to engage in such childish acts as you rightfully call them. For what benefits? It's high time you realized that people have divergent views on issues. Calling your fellow Tanzanians as Kenyans just because they have different views on matters touching on your country is childish in itself. I might differ with my fellow Kenyans in this forum but that doesn't make me a Tanzanian or Ugandan. Tanzanians, you included, should learn to accommodate different views without character assassination. It's stupid and childishWe can also pretend to be Kenyans with other Ids in this forum and say bad things about what your uhuruto goverment is doing. But that what help us anything in return. So we concentrate on working on our country's problems. We have no such childish games that can not get you anywhere!
Africa sehemu nyingi kuna maendeleo na projects kibao tofauti tofauti, wacha ignorance., nchi yako iko na shida zake, fruits ni hali duni ya raiya wake ukilinganisha EAC na SADC pia., wengi wenyu mko ovyo, angalia tu Dar es salaam pekee over 80% are merely existing and surviving, hawachaangi chochote kwa uchumi.Anawajibu hivi ndiyo maana wapinzani wa maendeleo wanamchukiaView attachment 1436566View attachment 1436567View attachment 1436568View attachment 1436569View attachment 1436570View attachment 1436571View attachment 1436572View attachment 1436573View attachment 1436575View attachment 1436576
Am glad that now you have realized that such things are stupid and childish. So stop from doing it.The problem is that you actually believe that a Kenyan has the whole time to engage in such childish acts as you rightfully call them. For what benefits? It's high time you realized that people have divergent views on issues. Calling your fellow Tanzanians as Kenyans just because they have different views on matters touching on your country is childish in itself. I might differ with my fellow Kenyans in this forum but that doesn't make me a Tanzanian or Ugandan. Tanzanians, you included, should learn to accommodate different views without character assassination. It's stupid and childish
ahahahaha mumemskia kilaza wa mwaka huu 2020😂😂😂😂😂😂 yani utumbo mtupuAfrica sehemu nyingi kuna maendeleo na projects kibao tofauti tofauti, wacha ignorance., nchi yako iko na shida zake, fruits ni hali duni ya raiya wake ukilinganisha EAC na SADC pia., wengi wenyu mko ovyo, angalia tu Dar es salaam pekee over 80% are merely existing and surviving, hawachaangi chochote kwa uchumi.
17 washakufa vp kulikoni 👇👇👇How do you even start comparing 396 with 480? Are you even normal?
What's the meaning of comfort btw, I give you the reason behind their jealous over our President, then u start lamenting hereIs that how you comfort yourself??


na kenya kuna shida gani au tuzitaje😂😂😂Africa sehemu nyingi kuna maendeleo na projects kibao tofauti tofauti, wacha ignorance., nchi yako iko na shida zake, fruits ni hali duni ya raiya wake ukilinganisha EAC na SADC pia., wengi wenyu mko ovyo, angalia tu Dar es salaam pekee over 80% are merely existing and surviving, hawachaangi chochote kwa uchumi.
The childish thing I was referring to is to actually believe that people can create fake IDs just to talk bad about other countries. Learn to accommodate divergent views, even if they are from your fellow countrymen. Not everyone should look at things the same way you do or have the opinion as yours. It's a free world. Free adviceAm glad that now you have realized that such things are stupid and childish. So stop from doing it.
Anavyoongea utadhani kanchi kao kanauwezo huoWe are doing target testing at the moment. Those who are targeted for this exercise at the moment do not even reach 10,000 coz we are still testing those in quarantine facilities and contacts. The point is, if our numbers surge (and God forbid), we have the capacity to do 35,000 tests a day. At the moment, we haven't reached there yet



Una ugomvi na ccm au una ugomvi na maendeleo ya Tz, be specific.Mwana CCM nakuona., propagandist regime, imefilisisha watanzania kwa kuapumbaza tu., ole wako.
Kweli kabisa, hata zaidi hapo sisi kuunda serikali ya muunganoitaichukua kenya miaka 300 kufika hapo![]()


alaf wewe ni mpuuzi chato kuna ikulu chato ni tanzania sasa unakwama wapi wewe sasa unataka kumpagia rais nini cha kufanya 😂😂Africa sehemu nyingi kuna maendeleo na projects kibao tofauti tofauti, wacha ignorance., nchi yako iko na shida zake, fruits ni hali duni ya raiya wake ukilinganisha EAC na SADC pia., wengi wenyu mko ovyo, angalia tu Dar es salaam pekee over 80% are merely existing and surviving, hawachaangi chochote kwa uchumi.
Hahaaa!!yani kw wajinga tu ndio watatumia usafiri wa majini wakati kuna barabaraWaanze kufikiria route za Mombasa from Dar via Zanzibar! Nina uhakika wale wa SGR Nairobi-Mombasa wataunganisha kwenda Zanzibar na fast ferries!
Pata picha unatoka Nairobi mpaka Mombasa SGR then unafika Mombasa unachukua Zanzibar fast ferry au Azam marine fast ferry unafika Zanzibar unakula good time then unachukua Zanzibar fast ferry au Azam marine fast ferry tena mpaka Dar unakula good nightlife time.
Then unachukua electrical SGR all the way to Mwanza with a stop at Dodoma. then from Mwanza unakula another good lake time. Then unachukua New Victoria/MV Mwanza (the only cruiseships in Lake Victoria) mpaka Kisumu then unachukua diesel SGR mpaka Nairobi again.
Pia driving can be possible, imagine unatoka Nairobi unaendesha mpaka Mombasa unachukua Sea star 1 au Sealink 1/2 then mpaka Zanzibar.
Unatoka unaendesha around Zanzibar halafu huyo again ndani Sea star 1 au Sealink 1/2 mpaka Dar unaendesha 14 hrs mpaka Mwanza unapita Dar-Kibaha highway Dodoma ring road unaingia ndani ya Mwanza.
Mwanza una-cross Kigongo-Busisi bridge halafu unachukua MV Mwanza (U/C) tokea Musoma mpaka Kisumu than unaendesha tena!
The future will be beautiful and the experience one gets, will openly tell nani kachezwa! I am confident that will be possible coming 2025! Tourism stakeholders shoud consider this tourism circuit! Nina uhakika jirani atatia ngumu.