Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It's because ur deaths number which is the key factor behind why countries fight the pandemic is bigger than us.
Our death numbers are high coz our government gives daily updates. Do you have any idea of how many have died in Tanzania in the last three days since the last update?
 
Unasikia maumivu yenu mjayamaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
yani wajinga kweli hawa jamaa lini tanzania ina muda wakufatilia kenya kwanza kenya kuna kipi tanzania ihangaike na wapuuzi magufuli kawakunja ipasavyo hawana hamu waneanza kufatilia mambo ya tanzania[/QUOTE]Wanapambana kuona Tz gonjwa linazidi ili wapate kupumua japo kdg
 
Our death numbers are high coz our government gives daily updates. Do you have any idea of how many have died in Tanzania in the last three days since the last update?
kwani jana serekali haikutoa update hukuona number zimepanda kwa wakat mmoja tatizo lenu nyinyi munachuki kwann uchumi wenu unakufa na corona wakat chuma hajakubaliana na hali hio sasa munaonekana wapuuzi sasa hvi 😂😂😂😂😂
 
Sio mimi naongelea hayo mambo. Ni Watanzania wenzako so hasira zako elekeza kwao. Did you click on the link? It's your fellow Tanzanians talking
Ati sio wewe unaongelea mambo ya Tz 😂

Na huyu ninayemjibu ni nani?
Au kuna anayetumia ID kwa niaba yako 😂

Mko busy na Tz wakati kwenu kunaungua moto wa mabua ulio miminiwa petroli 😂

Yaani mna tabia za kimalaya malaya... Mara muitukane Burundi (hawa hawana hata muda na nyie wako zao busy na mambo yao) mara muhamie Tz.
 
kwani jana serekali haikutoa update hukuona number zimepanda kwa wakat mmoja tatizo lenu nyinyi munachuki kwann uchumi wenu unakufa na corona wakat chuma hajakubaliana na hali hio sasa munaonekana wapuuzi sasa hvi 😂😂😂😂😂
Updates mlitoa two days ago kijana wa tandale when your government announced 196 new cases to reach 480. Hujui hata kinachoendelea ndani ya nchi yeko????
 
Ati sio wewe unaongelea mambo ya Tz 😂

Na huyu ninayemjibu ni nani?
Au kuna anayetumia ID kwa niaba yako 😂

Mko busy na Tz wakati kwenu kunaungua moto wa mabua ulio miminiwa petroli 😂

Yaani mna tabia za kimalaya malaya... Mara muitukane Burundi (hawa hawana hata muda na nyie wako zao busy na mambo yao) mara muhamie Tz.
walianza kuingilia na siasa za uganda 😂😂😂
 
wizara yao inatumia 42m ksh kukodisha ambulance 16 wakat hio pesa inauwezo wakununua ambulance 15 brand new😂😂 hapo ndio utajua akili zao ziko wapi yani watu wanakula pesa za msaada live bila chenga
Na hutowaona humu wakiongelea hayo mambo 😂

Wanakuambia wako na uhuru wa kutoa maoni..huo uhuru umewasidia nini! Mbona nchi yao bado inaliwa 😂

Watumie huo uhuru sasa 😂
 
walianza kuingilia na siasa za uganda 😂😂😂
Policia brutality imepamba moto kwao ila hutowaona wakijadili humu ila pale tu ikitokea kwenye nchi zingine utawaona namna clito zitakavyo wawasha 😂😂😂
 
Updates mlitoa two days ago kijana wa tandale when your government announced 196 new cases to reach 480. Hujui hata kinachoendelea ndani ya nchi yeko????
hio ni update ya one and ahalf week ilikua hakuna update yoyote imetoka kwa wizara so jana ndio wametoa zote kwa pamoja naona ushaanza kuchaganyikiwa 😂😂😂
 
hio ni update ya one and ahalf week ilikua hakuna update yoyote imetoka kwa wizara so jana ndio wametoa zote kwa pamoja naona ushaanza kuchaganyikiwa 😂😂😂
kijana wacha ubishi za kijinga. Serikali ilitangazwa maabukizi mapya two days ago na Haikuwa ya wiki moja na nusu as you say coz about five days before that mlitangaza new cases as well. Unakuanga na ubishi za kijinga sana
 
You talking about the link kwani tuko face to face humu au jf ina option ya 📞 na voice note siku hizi!
If you can't comprehend what I said then blame your English teacher. Anyway I know it's just a stupid way of avoiding the topic coz you don't want to look more stupid than you have already looked
 
If you can't comprehend what I said then blame your English teacher. Anyway I know it's just a stupid way of avoiding the topic coz you don't want to look more stupid than you have already looked
Jipe shughuli.
 
Back
Top Bottom