babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,302
- 35,726
Yaani hapo tuliwasaidia sana ila kama kawaida yao washa sahau 😂😂😂Keshakimbia na hii ndio kauli mbiu yetu hakuna mkenya kutamba mbele ya mtz labda awe mtz wa milembe
Yaani hapo tuliwasaidia sana ila kama kawaida yao washa sahau 😂😂😂Keshakimbia na hii ndio kauli mbiu yetu hakuna mkenya kutamba mbele ya mtz labda awe mtz wa milembe
sikieni hii mpya ya mwaka 👇👇👇👇
Wajinga hawa, miaka mingi tumekuwa tukiwasaidia lkn tulikuwa hatuongei ila tumeanza kuongea baada ya kuona wanatupanda kichwani ilihali hawatuwezi kwa chochote, now tumekuwa tukiwapa kichapo kila kona na bado ngj joka la umeme litue ndio tutazika hii thread rasmi.Yaani hapo tuliwasaidia sana ila kama kawaida yao washa sahau [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu bila aibu anasema watanunua Mexico,Wajinga hawa, miaka mingi tumekuwa tukiwasaidia lkn tulikuwa hatuongei ila tumeanza kuongea baada ya kuona wanatupanda kichwani ilihali hawatuwezi kwa chochote, now tumekuwa tukiwapa kichapo kila kona na bado ngj joka la umeme litue ndio tutazika hii thread rasmi.
Hakuna namna, watajisalimisha tu ni suala la muda tu [emoji3][emoji3]Halafu bila aibu anasema watanunua Mexico,
Hivi anafahamu GMO kweli huyu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaka jana ni nini kiliwaleta wale mawaziri wao kuomba kuuziwa mahindi!
[emoji3][emoji3][emoji3] wenye ndege zao washaanza kuzipiga mnadaBei ya jioni [emoji23][emoji23][emoji23]
Ingekuwa kenya ungeckia zimetoka kshs milioni 100 apo[emoji3][emoji3]
So wewe huoni tofauti hapo!Na tukisema nyie ni washamba hamna exposure mnaona ni dharauView attachment 1434828View attachment 1434829View attachment 1434831View attachment 1434832View attachment 1434833View attachment 1434834
[emoji3][emoji3][emoji3]sasa mtu anapika mawe mujue nimeshangaa kidogo[emoji116][emoji116][emoji116]
afadhali hao ni wapishi kuna hawa sasa😂😂👇👇👇👇 wafanyakazi wakichina ni 5000 alaf wakenya ni 1300 alaf wako hapa wanafungua makalio yao😆😆😆Hii hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1435117
Mpk wapishi wa kichina, nyie kweli mna laana ya mababu.
Ndiyo maana wananchi wameona heri kufumua miundombinu mana hawana faida nayo. Dah mpk sweeperafadhali hao ni wapishi kuna hawa sasa[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] wafanyakazi wakichina ni 5000 alaf wakenya ni 1300 alaf wako hapa wanafungua makalio yao[emoji38][emoji38][emoji38]
Wakenya walizani tuna Azam pekeake [emoji3][emoji3]hii video imenifurahis zan fast ferries wakifkuzana na azam marine live [emoji23][emoji23][emoji116] ila naona kama azam inatembea au macho yangu