Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

baada ya kuomba msaada kua muna njaa musingekua na njaa musingeomba ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ yani hata kuomba kuuziwa ni msaada pia kwasababu tuna hiyar ya kutowauzia na mukafa njaa vile vile
Ni wapi imeandikwa kwamba Kenya iliomba Mahindi? Utaombaje kitu kisha tena uuziwe? Unayemuomba atakupa tu kwa roho safi bila ya kuitisha pesa kwa sababu ni maombi, jinsi tunavyowafanyia wale omba omba wenu waliojaza mitaa na barabara zetu
 
Kijana wa tandale, nionyeshe mahali danganyika umeipa Kenya chakula cha msaada
kuomba kuuziwa ni dalili ya kupewa bure mtu mwenye pesa haombi kuuziwa hata siku moja ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hope umenielewa
 
Ni wapi imeandikwa kwamba Kenya iliomba Mahindi? Utaombaje kitu kisha tena uuziwe? Unayemuomba atakupa tu kwa roho safi bila ya kuitisha pesa kwa sababu ni maombi, jinsi tunavyowafanyia wale omba omba wenu waliojaza mitaa na barabara zetu
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
kuomba kuuziwa ni dalili ya kupewa bure mtu mwenye pesa haombi kuuziwa hata siku moja ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hope umenielewa
 
tena ni within a year ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

By the time inaisha mtakuwa mmeathirika pakubwa kushinda nchi zote hapa EA. effects za maombi badala ya kufanya mambo ya msingi yameanza kuonekana
Hayo mambo ya msingi ni yepi mnafanya nyie taifa lenye njaa ambapo Spain taifa tajiri imeshindwa
 
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘ kama tunaweza saidia nchi tatu mfululizo tushindwe kusaidia kunguni nyinyi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Ss c mngeenda kununua Mexico kuliko kuomba kuuziwa ya Tz, fikiria hilo neno mnaomba kuuziwa chakula co mnataka kununua, na kumbuka kuwa msamiati wa kuomba kwenu haupo, ila mnakuja kupiga magoti kuomba kuuziwa
bei juu alaf inabidi wasubiri miez mitatu meli ifike watakua washakufa kama nzige ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ss c mngeenda kununua Mexico kuliko kuomba kuuziwa ya Tz, fikiria hilo neno mnaomba kuuziwa chakula co mnataka kununua, na kumbuka kuwa msamiati wa kuomba kwenu haupo, ila mnakuja kupiga magoti kuomba kuuziwa
nilikua nimesahau kuna janga lingine pia lipo lilisahaulika ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

IMPORTING. so today the word "import" means "Kuomba" in Tanzani? It's even written: "The government of Tanzania has agreed to SELL to Kenya..."And when we call you a**holes mnakasirika
Ushawahi ona 90 kilogram bag ikiuzwa $1 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

National Food Reserve Agency at a cost of Sh2,650 per 90 kilogram bag and delivered at a cost of Sh300 per bag.​
 
baada ya kuomba msaada kua muna njaa musingekua na njaa musingeomba ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ yani hata kuomba kuuziwa ni msaada pia kwasababu tuna hiyar ya kutowauzia na mukafa njaa vile vile
Atuambie ni wapi wanauza 90 kilogram $1 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
National Food Reserve Agency at a cost of Sh2,650 per 90 kilogram bag and delivered at a cost of Sh300 per bag.
 
Atuambie ni wapi wanauza 90 kilogram $1
National Food Reserve Agency at a cost of Sh2,650 per 90 kilogram bag and delivered at a cost of Sh300 per bag.
Keshakimbia na hii ndio kauli mbiu yetu hakuna mkenya kutamba mbele ya mtz labda awe mtz wa milembe
 
Back
Top Bottom