Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bring that fact that I disputed, baada ya kusema ni mzungu nimewaletea chromosomes combination Tena mnageuza gear? Kisebusebu na roho kipapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikusema kuwa ni mzungu. He is obviously mixed. Tatizo lako wewe unataka kufanya ethnic background yake ya ukenya kuwa kubwa kuliko nyingine alizonazo ambao ni upuuzi wa kupindukia
 
Sikusema kuwa ni mzungu. He is obviously mixed. Tatizo lako wewe unataka kufanya ethnic background yake ya ukenya kuwa kubwa kuliko nyingine alizonazo ambao ni upuuzi wa kupindukia
Umeanza ku change gear hewani sasa, mara mamake, sijui kazaliwa wapi sai umeona unalamtwa sasa umehamia kwa familia eti pia ana background ya wazungu..kweli upo desperate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wewe kaandika hayo?
Kwa hiyo unataka kumaanisha kuwa gametes za mwanaume Ndio zinachukua asilimia kubwa katika utengenezaji wa mtoto? Aisee wewe kenge ni mpumbavu. Kuwa proud kuwa ana “ukenya”ndani yake maana ana asili nyingine pia. Ila usiseme kuwa hana uzungu ndani yake. Mitochondria zote alizonazo mwilini mwake zinatoka upande wa mama yake ambaye ni Mzungu. Malezi yake, accent yake vyote ni vya kimarekani. Halafu, uelewe tofauti Kati ya “African American” na “Kenyan”
Mwanaume na mwanamke wote wanatoa chromosomes sawa na hizo ndio zinaunda vinasaba vya mtoto , na vinasaba ndio vinatoa identity ya mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama anaonesha mavazi anaonesha na kampuni pia? Haya nioneshe hio kampuni ya clearing and forwarding ambayo hua anaitangaza mtandaoni.
ww usinifanye mm mjinga joho sijaanza kumjua jana umenielewa punguza upuuzi yani awe na kampuni joho isijulikane mombasa[emoji23][emoji23][emoji23] mbona mavazi na nyumba yake anaonesha kwa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona somo limekuingia baada ya kukuelewesha hapo kidogo..

Kuilewa familia ya mzee joho unahitaji akili za ziada.

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna sehemu wameandika joho na familia yake ndio wenye kampuni 😂😂😂😂 yani siku utapata joho ni mwenye kampuni hio mm nafunga account jamii forum😂😂👇👇

Home
 
Na wala hutosikia basi[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
kabisa😂😂😂👇👇👇
7021C58F-D40B-4AB9-B237-AA5893BE3C06.png
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona somo limekuingia baada ya kukuelewesha hapo kidogo..

Kuilewa familia ya mzee joho unahitaji akili za ziada.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwamba kuna sehemu wameandika ni kampuni ya familia ya joho siku utaipata let me know 😂😂😂😂👏👏👏👏👏
 
Back
Top Bottom