Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
ubungo si ulitaja au sio wewe[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
Yah, Tz maisha mepesi yn unaishi kulingana na kipato chako, ndiyo maana tunaitwa nchi ya asali na maziwa.
Ss ww Chanika unapachukulia poa, ushafika au unaongea tu
Uliwahi kufika Illinois? Mbn unaijua.
Acha ujinga, maisha mepesi nnayosema hapa ni yale ya uswazi ukiwa na buku unakula jero unakula hata 300 unakula, huko obey huwez ishi kwa pesa hzo.
Achana naye huyo, jana alishindwa kuelewa screenshots zake mwenyewe..
Haya nikamuuliza tycoon nikuanzia na kiasi gani cha pesa bado hajielewi...
Kulingana na yeye joho sio tajiri wala successful businessman.
Yani nilicheka sana jana
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliwahi kufika Illinois? Mbn unaijua.
Ww unayeishi huku Tz hebu waambie ukweli wenzio utofauti wa huku na huko kwao acha kuendekeza uzalendo, mana ww na kazi yako ya ualimu japo unapewa mshahara kiduchu ila bado una survive na unabaki na visenti vya kutuma ushagoo.Yeye anamfahamu joho tu Kama gavana wa Mombasa Hana lolote alijuwalo kumhusu Wala biashara zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3] Wakenya bhnIllinois niliijua maana seneta wa pale alikua na damu ya kikenya na alifanya ziara kenya Kama seneta wa Illinois .
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga, maisha mepesi nnayosema hapa ni yale ya uswazi ukiwa na buku unakula jero unakula hata 300 unakula, huko obey huwez ishi kwa pesa hzo.
Acha ujinga, maisha mepesi nnayosema hapa ni yale ya uswazi ukiwa na buku unakula jero unakula hata 300 unakula, huko obey huwez ishi kwa pesa hzo.
I think ingewasha ATCL more than KQ, mlinunua Dreamliner za kupark kwa airport?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakushangaa wewe kenge mwituAm sure hata watanzania wenzako wanakushangaa jinsi ilivyo kilaza.
Ww unayeishi huku Tz hebu waambie ukweli wenzio utofauti wa huku na huko kwao acha kuendekeza uzalendo, mana ww na kazi yako ya ualimu japo unapewa mshahara kiduchu ila bado una survive na unabaki na visenti vya kutuma ushagoo.
I mean him.True son of the soil.View attachment 1432143View attachment 1432144View attachment 1432145
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ndio tatizo lake kubwa, anafanya kumsikia km gavana tu lkn hajui km yule jamaa ana kampuni ngapi zakeYeye anamfahamu joho tu Kama gavana wa Mombasa Hana lolote alijuwalo kumhusu Wala biashara zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaishi kwa makenge wenzako narabukSiwezi haribu muda wangu kuishi Tanzania, Mimi hua nakuja kuinua uchumi wenu kwa kuchangia katika mfuko wa taifa kupitia utalii.
Sent using Jamii Forums mobile app