msee... wacha kuwa desperate... ii si NairobiWote tunajua this picture would have a title of "Jaw dropping Kenyan suburbs" if it was taken by any of Kenyan in JF simply because we wouldn't have seen the background of those buildings
Utuonyesha ujenzi si manenoUjenzi wa SGR Kuanzia Dar
Ukiwa na wivu utakufa na shinikizo la damu. Naona umejiunga kwa ajili ya uzi huu. Basi soma hapa:-Huyu jamaa wa battle hua ananikera. Mkuu, huna mada nyingine ambayo ni educative kuliko huo upupu wako? Im so sorry!
Una uhakika si Nairobi?msee... wacha kuwa desperate... ii si Nairobi
sa hii ni swali au jibu?Una uhakika si Nairobi?
Wabongo kwenye hadithi, hamna anayewazidiUjenzi wa SGR Kuanzia Dar
Before you drag me to your level... hiyo ni Kibera, Nairobisa hii ni swali au jibu?
haiyaa... ati before nini??? ukishajua maneno mawili ya kiingereza unaona uneza ukayabwaga tu kila sehemu.... kuja na credible source to support your claims.Before you drag me to your level... hiyo ni Kibera, Nairobi
Where muna upgrade??????haha... unasema kibera... unakosea View attachment 520779
Naona unaumia sana hutaki tujenge kabisahamna kitu apo!
nimemshow mwenzako kuwa hapo sio Nairobi na analia. picha ya kwanza pia ameiphotoshop na building zengine hakuna.... wacha kuwa ovyo kama mwenzako. utaanza kuwa irrelevant sasaWhere muna upgrade??????
HahahhhahaView attachment 520820
hadithi za "paukwa,, pakawa?"Naona unaumia sana hutaki tujenge kabisa
ππππππππππ
Ichi nnWacha nishike wale mateka na hizi picha,nione limbukeni ni nani
NAIROBI TUKO MBELE HOYEEEEEE!!!!!
_________________
Green city [emoji16][emoji16]
Downtown kibera [emoji16][emoji16]hapa wapi
Haaahahahah unakataa kwenu sasaπππnimemshow mwenzako kuwa hapo sio Nairobi na analia. picha ya kwanza pia ameiphotoshop na building zengine hakuna.... wacha kuwa ovyo kama mwenzako. utaanza kuwa irrelevant sasa
Hahahaha naona unaumia sana kuskia modern electric train inachukua nafas east and central Africa with a speed of 160 km/hrhadithi za "paukwa,, pakawa?"
sawa endelea. after 2.5 yrs tutajua mbivu na mbichi