Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yap unajua hata hizi charter airlines Tanzania the industry is big n has to do with how remote r our tour circuits!
Yeah charter airlines Tanzania zipo nyingi mno kutokana na vivutio vyetu kuwa scattered remotely kwenye maeneo mengi,

kuna mtu namfahamu alikua na tender ya kusambaza significant weight of beef fillet steak huko Zanzibar,

Impact ya hii Corona na ban of international flights anaiface kichizi. 😢
 
IMG_20200426_152920.jpg
IMG_20200426_152913.jpg
IMG_20200426_152916.jpg
 
Tuanze na hapa kw pato la taifa, aviation industry inawaingizia shillingi ngapi km taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Buda, hao wanaolipwa mishahara wanalipa kodi, pension zao zinazungushwa kwenye biashara zingine na bado wanasafiri na kufanya manunuzi mengine ndio maana tz inaweza kusurvive hata kwa biashara ya ndani ukilinganisha na nyie. Pia sgr ya umeme ni mojawapo ya hatua zinazofanywa kuhakikisha tunajinufaisha kwanza kuliko kununua wese
 
Hana concept hata moja ya uchumi muhurumie tu
 
Buda, hao wanaolipwa mishahara wanalipa kodi, pension zao zinazungushwa kwenye biashara zingine na bado wanasafiri na kufanya manunuzi mengine ndio maana tz inaweza kusurvive hata kwa biashara ya ndani ukilinganisha na nyie. Pia sgr ya umeme ni mojawapo ya hatua zinazofanywa kuhakikisha tunajinufaisha kwanza kuliko kununua wese
Bado hujajibu swali jomba, narudia tena!!aviation industry tanzania inaingiza shillingi ngapi??????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa!!kwhyo wafanyikazi wa hyo sekta kodi zao ndio huunganishwa halafu ndio mnapata total ya hzo kodi mmepata kutoka kw aviation industry sio

Sent using Jamii Forums mobile app
Buda usijifanye hujaelewa. ingawa kama naona uko kwenye upande fulani hivi kuwa "ajiri watu wachache, airlines zipate faida kubwa na serikali ipate gawio la kutosha"
 
Back
Top Bottom