Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,923
- 103,791
Ww huwa hawakujibu wanakuogopa sn cjui kwnnWakenya niliwaambia huu mwaka utakuwa mbaya na mgumu sana kuanzia huu mwaka lazima mkili kuwa Tanzania ni baba la baba kila goti litapigwa tayari KQ imesha kufa Rwanda air nayo chali sgr imekufa kwa sababu ya korona na deni linaongezeka mchina kuchukua bandari yenu miaka michache ijayo
Send by APOLO 1




Ss cjui tunashindania nn hapa, mana lengo co kuwa na mandege yasiyo na faida km kq lengo ni impact ya ROI ionekane kwny uchumi.
Yaani Kenya pamoja na kuwa na ndege 3 na lundo la mikodisho inayolitafuna shirika pamoja na kodi ya mvuja jasho wa babandogo bado hawana impacts yoyote kwenye kutoa ajira nchini mwaoSs cjui tunashindania nn hapa, mana lengo co kuwa na mandege yasiyo na faida km kq lengo ni impact ya ROI ionekane kwny uchumi.
IATA inaonesha hata SA haitufiki ss hawa wapuuzi humu cjui wanaongea nn, eti wanashindania kwenda nje bila mafanikio yoyote, cc tunapiga route za ndani na bado impact yake kubwa, wao wanaenda nje lkn mavi ya kunguru, kuna mjinga hapo juu nimemuuliza km kwenda nje ni muhimu mbn hamna faida yoyote mnayopata? Anaanza kunijibu utumbo yn kashindwa kuielewa hata cmpo EnglishYaani Kenya pamoja na kuwa na ndege 3 na lundo la mikodisho inayolitafuna shirika pamoja na kodi ya mvuja jasho wa babandogo bado hawana impacts yoyote kwenye kutoa ajira nchini mwao
Yaani sisi tunanufaika zaidi na usafiri wa anga pamoja na kua na ndege chache kuliko Kenya, tupo level moja na Ethiopia almost.



Afadhali yakakushinda, manake sio kw akili hzo zenuNaona unaona wivu na dar
Wewe pambana na slum king Dom hapo Kenya
Send by APOLO 1





Kwhyo mko juu mpka ya sauzi, kweli nyie kibokoSs cjui tunashindania nn hapa, mana lengo co kuwa na mandege yasiyo na faida km kq lengo ni impact ya ROI ionekane kwny uchumi.
Sio mm ni IATA
Atcl inaingiza shillingi ngapi katika serikali yenuPigo lingine hili apa, wamekimbia wote wameenda kutafuta source, wakenya nyie bado sn Tz ni silent killerView attachment 1431129


Kaeni mkielewa vitu wakati mwngine wala sio kukurupuka tuSio mm ni IATA
Kuingiza sh ngp kwa serikali co tatizo as far as the revival of the corporation is concerned, but the issue here isAtcl inaingiza shillingi ngapi katika serikali yenu
Manake si lazima zilipe kodi
Sent using Jamii Forums mobile app





Haya ebu nifafanulie ww apo
Ina maanisha pia na watu tour companies aside flori and horticulture!hio idadi maana yake ni nn?
kama ni wafanyakazi naona kama tuna wafanyakazi wengi kuliko wote isipokuwa huyo wa tatu?
yap unajua hata hizi charter airlines Tanzania the industry is big n has to do with how remote r our tour circuits!Ukireverse hizi data positively anticlockwise utaona ikitoka Ethiopia, Tanzania ndio inanufaika zaidi kwenye sector ya aviation in terms of employment and its peripherals.
Tuanze na hapa kw pato la taifa, aviation industry inawaingizia shillingi ngapi km taifaHaya ebu nifafanulie ww apo
Bwahahaaa!!yani unaajiri tu na wakati tangu atcl iumbwe haijawai ingiza faidaKuingiza sh ngp kwa serikali co tatizo as far as the revival of the corporation is concerned, but the issue here isView attachment 1431134