The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Sio tu kuwekeza kwenye ruti za ndani bali pia Tz iko vzr kwny local market, watu wanapanda sn ndege humu, kenya wanategemea ruti za nje cz za ndani hamna soko[emoji3][emoji3]Afadhali zetu tunazimiliki wenyewe kwa hiyo tuna maamuzi ya kupiga ruti popote, ,
Vipi hapo Kunyaland [emoji23]
Sasa kipindi hichi cha corona unataka ziende wapi wakati kwa ruti za ndani inapiga mzigo wa kutosha [emoji23]
Hii ndio raha ya kuwekeza kwenye ruti za ndani hususan kipindi hiki [emoji23]