Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sure, kitu chenye gharama kwenye dream house ni finishing
 
najua huwez amini na huwez kukubali ukweli ila huo ndio ukweli mwenzako kaletewa nyumba zinamilikiwa na watu wakawaida kaenda kuleta nyumba ya politician johoπŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe unaishi gongo la mboto Dar mimi naishi Nairobi kenya and now you know Nairobi kunishinda Mimi! How interesting. Sawa basi niletee picha ya hiyo project nizione coz taarifa ni ya 2011. Hizo ni miaka tisa, lazima project ilishakamilika kitambo. Niletee picha ya hizo nyumba nione
 
hebu rudia mm naishi wapi??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unataka kupajua napoishi mm bro tena usijaribu bora upite kimya kabisa
 
hebu rudia mm naishi wapi??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unataka kupajua napoishi mm bro tena usijaribu bora upite kimya kabisa
Unaishi gongo la mboto. Ama ulishahamia Vingunguti? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aisee sijawah ona mkenya mpuuzi kama ww

Kenya Today
Ubaya ni kwamba Unajifanya unaelewa masuala ya Kenya kushinda wakenya wenyewe. Hii Kenya Today ni media house iko wapi, who owns it, where are their headquarters in Nairobi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…