LOL 😁😁 na hao ndio levels zenu
Mkuu usisahau kuwaambia kwamba hyo wanayoiona hapo mbele ni kivuko cha watu tu ile ya mbele ndyo interchange mana ucje kuwaua kwa presha [emoji3][emoji3]
Kaka endelea tu kuwachapa wala usiache km zpo 300 bac we tupia zote 300 usiache hata moja, hawa wana kimbelembele sn hawa
Cc: Anti komoraDream Houses from Interiors [emoji293][emoji2515][emoji537][emoji1241]
View attachment 1430058View attachment 1430060View attachment 1430061View attachment 1430062
Kwn hz zote zpo Kibada? Najaribu tu kuwaza km zitaisha zote cjui itakuwaje aisee
Hahahaha haziwezi kuisha leo wala kesho sababu ninazo nyingi kichizi, sijui hawa wakuda wameshtuka sababu sioni challenge, wameshaona hii battle hawaaiwezi 😁😁😁Kwn hz zote zpo Kibada? Najaribu tu kuwaza km zitaisha zote cjui itakuwaje aisee
Yani mtu unajifurahisha na mijengo km hyo[emoji1787][emoji1787]LOL [emoji16][emoji16] na hao ndio levels zenu
LOL ila sio zile zenu za fundi maiko zilizokaa tenge