Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,118
- 17,848
In the last 24 hours mmepima wangapi? If you ask me how many we've tested in the last 24 hours nitakuambia. The point is, mnapima watu wachache sana hadi wengine nasikia wanaachiliwa bila kupimwa just because they do not show any signs of the virus. That it a timed bomb that will explode right in your faces soonHv hujanielewa au unajitia uwehu, c ni nyie mlisema kwmb Tz haipimi au? Ss leo tunawatafsiria mbinu zetu ambazo tayari mshaanza kuiga mnaanza kulia lia na kutuambia kwamba tunapima, kweli nyie ni wafa maji[emoji3][emoji3][emoji3]
Alafu ni mbinu zipi hizo tunaiga kutoka kwenu? Hebu zitaje hapa one by one