Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unafkiri under construction zilizo bongo unafkiri mchezo do u think watu wamelalaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
mnalala usingizi wa pono,nimeshakwambia Nairobi inaongoza Africa nzima kwa majengo marefumarefu,likiwemo supertall lenye towers mbili refu zaidi,je nyie mko na plans zipi za building a skyscaper of such magnitude??mtatiririka machozi humu na usiahi ikibidi
 
Sasa mbona hamna cha kujitambia zaidi ya hiyo Nairobi na hiyo mombasa au haina kitu .

Wakenya bhana watu ovyo sana .
laleni usingizi wa pono sisi huku miundo mbinu na magorofa utafanyia nini nairobi?
 
ndio maana hua nawaambia sio ile tanzania ya 90s hii ni 2017 kazi munayo sana....tunajenga kila kona ya 1590.5 km
 
Hahhhahaha ona sasa ulivyo mpumbavu unaturingia ghorofa wakati wewe unaishi huko kibera au mathare au kwenye apartment aliyojenga mwanaume mwenzio.

Wakenya ni watu ovyo ovyo sana .

Wewe umeprove hilo.
 
ndio maana hua nawaambia sio ile tanzania ya 90s hii ni 2017 kazi munayo sana....tunajenga kila kona ya 1590.5 km
Hata mfanye yepi,korogakoroga zenu,longolongo zenu na yepi,hakuna siku Dar is slum itafikia ukwasi na ulimbwende wa jiji kuu Africa mashariki na ya kati Nairobi,mji uliosukwa na kutakasika Dunia nzima,hivi watu kule Marekani wanajua kitu kama Dar is slum,au kwao ni ndoto tu?Nairobi inajulikana kotekote dunia nzima,sijui tutawafunza vipi nyie limbukeni wa kutupwa
 
politics kidogo.

miaka miwili iliyopita niliwahi sikia kuwa kuwa huyo "msee" ni m.s.e.n.g.e.
 
lamu kuna nini sasaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ zaidi ya njaa kuna nini
Sasa Zanzibar kuna nini zaidi ya uchawi na ulaji wa albino....Mombasa is the 2nd biggest port in Africa after Durban dude...ata Mombasa waweke tower mbili kubwa inashinda dar sasa
 
Hahhhahaha ona sasa ulivyo mpumbavu unaturingia ghorofa wakati wewe unaishi huko kibera au mathare au kwenye apartment aliyojenga mwanaume mwenzio.

Wakenya ni watu ovyo ovyo sana .

Wewe umeprove hilo.
wajua niishiko wewe limbukeni tupwa tupwa,na jee hata kiingereza wakijua kweli wewe? Nenda kasome economics ili uache ukurupukaji wa maneno yasiyo halisi.
 
hahaha sasa mbona unatapika povu sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.....mm nakwambia go east or west still nairobi itaingia kwa dar mara 3....ule muda wa kujiona superior umeisha sasa hvi nyani haangaliwi usoniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
wajua nishiko wewe limbukeni tupwa tupwa,na jee hata kiingereza wakijua kweli wewe? Nenda kasome economics ili uache ukurupukaji wa maneno yasiyo halisi.
English ni lugha tu na sio elimuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Duh....porojo katika ubora wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…