Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mod sasa ni wakati wa kufuta huu uzi sababu Dar imeshuka ligi siku hizi ina compete na Kilimani so sioni haja uendele sababu Dar itazidikua victimView attachment 1427188View attachment 1427189

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninakwambia wewe kijana unafanya vitu kwa kujifurahisha wewe mwenyewe.
You don't have exposure
Dar es salaam inaipita Nairobi kwa mambo mengi mno. Na kuhusu kufungwa huu uzi kwamba hautafungwa kama umeshindwa kaa pembeni watakuja wengine
 
Huko TZ kuna city ingine kubwa na yenye iko na majengo makubwa kama ya dar? Apart from Nairobi Kenya, there is another city which is coming very soon and is called Tatu
Tatu is a City? By the way this thread is about Dar vs Nairobi.
If you want to know other cities anzisha uzi.
 
Ninakwambia wewe kijana unafanya vitu kwa kujifurahisha wewe mwenyewe.
You don't have exposure
Dar es salaam inaipita Nairobi kwa mambo mengi mno. Na kuhusu kufungwa huu uzi kwamba hautafungwa kama umeshindwa kaa pembeni watakuja wengine
Hautafungwa huu uzi ila nina wasiwasi baada ya sgr, jnhp, ubungo interchange, salender bridge, gerezani flyover, brt phase 2 na 3 na 8 lane road ya mwenge kukamilika (na co mda mrefu cz zote hzo zpo under construction) hawa wakenya humu wote watakimbia tutabaki pekeetu humu we ngoja uone.
 
Hautafungwa huu uzi ila nina wasiwasi baada ya sgr, jnhp, ubungo interchange, salender bridge, gerezani flyover, brt phase 2 na 3 na 8 lane road ya mwenge kukamilika (na co mda mrefu cz zote hzo zpo under construction) hawa wakenya humu wote watakimbia tutabaki pekeetu humu we ngoja uone.
U mean Nairobi is asleep??
Jkia-westlands expressway and flyover
Western bypass
Ngong road
Westlands to limuru superhighway
BRT
Link roads project
Railways overpass road
Dialling Eastern and Northern bypass
comutter railway project

Zikikamilika hizi tutaelewana tu..
 
Huko TZ kuna city ingine kubwa na yenye iko na majengo makubwa kama ya dar? Apart from Nairobi Kenya, there is another city which is coming very soon and is called Tatu.. unaijua hiyo?
white elephant😂😂😂 toka nimiskia now is 10ys hamujafkia hata ukucha wa render yenyewe
 
U mean Nairobi is asleep??
Jkia-westlands expressway and flyover
Western bypass
Ngong road
Westlands to limuru superhighway
BRT
Link roads project
Railways overpass road
Dialling Eastern and Northern bypass
comutter railway project

Zikikamilika hizi tutaelewana tu..
iko wapi ujenzi wa express way?? 😂😂
 
U mean Nairobi is asleep??
Jkia-westlands expressway and flyover
Western bypass
Ngong road
Westlands to limuru superhighway
BRT
Link roads project
Railways overpass road
Dialling Eastern and Northern bypass
comutter railway project

Zikikamilika hizi tutaelewana tu..
Are you talking about ONLY BRT!?
images (8).jpeg
 
Akili yako ni finyu mno. Ubora wa jiji si maghorofa. Kuna Maeneo Kama Oysterbay na Masaki yamewekewa sheria ya urefu wa majengo ili kutunza uasilia wa maeneo hayo. Halafu, Watanzania wengi hawaishi kwenye mabanda ya kuku Kama nyie wakenya. Lifestyle yetu Ni tofauti mno. Wengi wanapenda kuishi kwenye viwanja vyao na nyumba zao lakini wewe unapoona hizo horrible apartment blocks akili inapaa unaona mko juu kumbe ni ujinga tu.
Viwanja "vyao"?? Here??? And did you say horrible?? 😂 😂 😂
Screenshot_20200327-142010.png
Screenshot_20190928-132128.png
Screenshot_20190926-172636.png
 
Kijana nimekwambi acha utoto. Dar es salaam is almost 3 bigger than Nairobi.
Hayo majengo Dar ni mengi mno.
I mean 10fls buildings yanaweza kufika 1000.
Dar ni kubwa kushinda hata New York but New York is ten million times better than your glorified fishing village. Tumia akili ya kuzaliwa sasa
 
Dar ni kubwa kushinda hata New York but New York is ten million times better than your glorified fishing village. Tumia akili ya kuzaliwa sasa
hio ndio shida iliobaki kichwani mwenu kufananisha nchi iliondelea na nchi zinazoendelea sijui wapi munakwama nyinyi 😁😁😁 yani developed city and developing city wapi na wapi?

newyork iko mbele ya dar na nairobi kwa miaka 300 utafananisha vp ww unafkiri newyork kuna shida ya maji kama nairobi jiji zima linakosa maji salama alaf munakuja hapa kuongelea newyork😁😁😁
 
U mean Nairobi is asleep??
Jkia-westlands expressway and flyover
Western bypass
Ngong road
Westlands to limuru superhighway
BRT
Link roads project
Railways overpass road
Dialling Eastern and Northern bypass
comutter railway project

Zikikamilika hizi tutaelewana tu..
wapi munajenga BRT ???😁😁😁 hebu tuoneshe usisahau kunionesha na sehemu munajenga express way😂 mamaee unatuletea ndoto za alinacha, hapa sio nairaland
 
Back
Top Bottom