😂😂😂unaanza kujifariji, Thika haikutamba kwa chochote mbele ya Iringa 💪tatizo lenu kutaka sifa zitawaumbuaI can see you fear mighty Thika,unaona venye ilitoa jasho iringa😆😆
Hii hapa mkuu, nicxie alisema wametujengea, aisee nilicheka kidogo nizimieeti kenya waijengee meli tanzania nilicheka sana![]()
yani muna kazi ya miaka 50 kutoka sasa
View attachment 1427418View attachment 1427419








Hiyo mpya inayotengenezwa ndiyo itakuwa mwana ukomeWakenya kelele nyingi. But hawana pesa mfukoni. Sasa mambo yanaanza kuiva ndani ya ziwa Victoria. Kumbuka bado moja








hali mbaya kwa majirani 😂😂😂👇👇 ohh sisi ushuzi wa GDP hii corona kwa upande mwengine imekuja kuonesha sura ya ukweli ya maisha yenu
sasa huu mwaka subirini mutaniambia na hapo tayar njaa imewapigia hodi baadhi ya maeneo😂😂Haya majamaa yanapenda sifa yasokuwa nazo 😂😂😂😂
Wanasema lockdown ndio solution, ss tuwaache tu, cc tutaendelea kumuomba Mungu huku tukichukua tahadharinaona wengine wanapinga wengine wanakubali,
anyway, uzuri ni kwamba uchumi wa nchi yetu unaendelea kama kawaida, utalii na ndege tu ndo zimeyumba. huko kwao vitu vingi sana vimekwamba