Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Brt pia ni idea ya kagera[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani jamaa hana ufahamu km huo ni mtambo wa nn, yeye bado anabweteka tu[emoji1787][emoji1787]
Kaa ukiuliza wakati mwngine

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww jamaa mgumu sana kuelewa I know you [emoji3][emoji3][emoji3] ngj nikurahishie ni hv Wakenya huwa mnaiga vitu vicvyokuwa na tija lkn mkitumia pesa nyingi na ndiyo maana inaytwa failed state, mfano hapo kwenye ile picha mnapiga rangi lami ili ionekane mpya maana yake ni kwamba hyo lami mlipigwa changa la macho mkatengenezewa low quality km kawa, hapo solution ilikuwa co kutumia pesa za walipa kodi kupaka rangi hyo barabara, ilitakiwa muifumue mujenge mpya yny quality ya ku last longer [emoji3][emoji3]
 
Rudia tena, eti ule mtambo ni wa nn[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maskini, watuuuu kujeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei hutegemea soko ila kuna wakati soko linakataa, sasa kutokana na umuhimu fulani serikali inabidi iingilie ili kuokoa uchumi katika sekta hiyo usife.
Sasa serikali kuingilia ni kufanya km vile serikali ya kenya ilifanya nwaka juzi..
Unga ulivyopanda, serekali iliagiza mahindi na kuja kutengeneza unga wao halafu wakauuza kw bei ya chini ..

Wala eti sio kutishiana km hko kwenu, eti watu watakaouza sukari kw bei ya juu watafutiwa leseni..we unajua hao jamaa wamegharamikaje mpka wakaamua kufikia bei kw ajili ya soko..

Njia bora serekali ni kufanya competition tu wala sio kutishia watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tz -One ,all we need are SPECTACULAR VIEWS OF MOUNT KILIMANJARO FROM DAR IS SLUM,without it,forget it.We earn BILLIONS from our SPECTACULAR VIEWS,both from NAIROBI and AMBOSELI NATIONAL PARK
Mapato ya utalii si tunawazidi au umesahau?
 
D69AB617-2734-4E3F-8F50-D5B801C7D1F9.jpeg
EB335F77-7084-42DB-9FDF-1B91216ECC04.jpeg
E8D05B01-4EC0-462D-8391-A760D83CE48D.jpeg
 
Njia bora serekali ni kufanya competition tu wala sio kutishia watu
Ukiiangalia hii juju unaona ni ubabe tuu wa serikali ya awamu ya tano lakini ukielewa kiundani utaona serikali iko sahihi. Na inachofanya ni kuweka ushindani halisi.
Wala eti sio kutishiana km hko kwenu, eti watu watakaouza sukari kw bei ya juu watafutiwa leseni..we unajua hao jamaa wamegharamikaje mpka wakaamua kufikia bei kw ajili ya soko..

Baada ya soko huria kuanza '92 kukatokea makabaila (monopoly) wachache ambao walikuwa wanatumia nguvu yao kuhonga maafisa wa serikali ili waendelee kuhodhi uchumi.

Mfano mzuri ni biashara ya mafuta, zamani serikali ilikuwa ndiyo inayoagiza mafuta nje na bei ya mafuta nchini ilikuwa inaenda sambamba na ile ya OPEC.

Waliporuhusu makabaila kuagiza mafuta, tena bila kulipa kodi, jamaa wakaanza kuota mapembe kiasi cha kuigomea serikali, kuna kipindi walikuwa wanagoma kuuza na kuleta taharuki nchini. Leo hii mafuta yanauzwa chini ya $20 kwa pipa lakini jamaa bado wamekomalia kuuza kwa bei ile ile ya $53 kwa pipa.

Kwenye sukari ilikuwa hivyo hivyo jamaa walikuwa wanaficha ili kutengeneza uhitaji mkubwa (scarcity) na kuongeza bei, walikuwa na kiburi wakiigomea serikali ya Kikwete na serikali haikuwa na ubavu wa kukataa.

Sasa serikali haiwezi kuacha mambo yaende kiholela huku wananchi wengi wakiumia. Kuna wafanyabiashara wa vyakula huwa wanaongeza bei wakati wa mfungo wa Ramadhani, kila mwaka. Sasa serikali iache watu wake waumie kwa uhuni wa watu wachache?

Hata Amazon imezifunga account za watu wanaolangua bei ya sanitizers na Trump pia mwezi jana alikataza watu kufanya ulanguzi kwa bidhaa tiba wakati huu wa Corona.

Ndiyo maana nilisema, nchi zenye akili huwa haziachi mambo yaende kiholela.
 
Back
Top Bottom