Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,674
- 107,110
when ur biggest artist adores Sumbawanga town!Eeeesh,eti town, this is a village bro😂💉
when ur biggest artist adores Sumbawanga town!Eeeesh,eti town, this is a village bro😂💉
Hahaaa!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eeeesh,eti town, this is a village bro[emoji23][emoji382]
Huwa wanapaka dudu killer mkuu[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]kikihboy [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Kama ulikuwa hujui hii ndo lami sasa,sio ile ya brown kakamega
Mmmmm!!lkn mw sasa itabidi serekali imetumia nguvu ili msiumie.. manake watanzania nao kwa kupangiwa bei na serekali hamajamboWazalishaji wandani wakiongezeka (Azam) bei itashuka.
Huo mtambo kwanza wauonaje[emoji1787][emoji1787]Hzo ndiyo barabara zao ni very low quality huwa wanapigwa na wakandarasi ktk kila project mwishowe wanakuwa watu wa kupaka rangi barabara[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] (usizani ni utani hiyo ndiyo hali halisi ya kenya)[emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 1420988
Hahaha this TKOwhen ur biggest artist adores Sumbawanga town!
Na alikataa kuondoka!Hahaha this TKO
Anahisi Sumbawanga ni kama kwao Ushago.....
Mwambie Willy Paul kafika Swax Town aingie YouTube atafute show ya Nandy+ Willy Paul Sumbawanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi zote zenye akili huwa zinapanga bei kusaidia baadhi ya masoko, au mpaka usikie wazungu wakisema "subsidies" ndo utaona sawa?Mmmmm!!lkn mw sasa itabidi serekali imetumia nguvu ili msiumie.. manake watanzania nao kwa kupangiwa bei na serekali hamajambo
Na hyo mlikopi wapi? Mabingwa wa kukopi vitu visivyo na tija[emoji3][emoji3]
Hahaaa!!akili za kijamaa hzo, wala huwezi kuta nchi zinazojielewa eti mnaekewa bei elekezi..Nchi zote zenye akili huwa zinapanga bei kusaidia baadhi ya masoko, au mpaka usikie wazungu wakisema "subsidies" ndo utaona sawa?
Kwn sgr ilichorwa chato[emoji1787][emoji1787]Na hyo mlikopi wapi? Mabingwa wa kukopi vitu visivyo na tija[emoji3][emoji3]
Sgr ina tija
Yani jamaa hana ufahamu km huo ni mtambo wa nn, yeye bado anabweteka tu[emoji1787][emoji1787]Hzo ndiyo barabara zao ni very low quality huwa wanapigwa na wakandarasi ktk kila project mwishowe wanakuwa watu wa kupaka rangi barabara[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] (usizani ni utani hiyo ndiyo hali halisi ya kenya)[emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 1420988
Mabeberu wote wanafanya hivyo kwenye biashara za mazao, sasa sijui nyinyi mnashindwa wapi.Hahaaa!!akili za kijamaa hzo, wala huwezi kuta nchi zinazojielewa eti mnaekewa bei elekezi..
Kwn hakuna wakulima sacco, wafanyibiashara pia hawanaga chama chao..
Nakumbuka yule waziri wenu aliposema mkulima alime yeye, kila kitu amejisimamia yeye halafu uje umuwekee bei elekezi kisa kw minajili ya ujamaa..hyo itakua ni kuumizana tu walai..
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei za bidha huaga zina taratibu yake, wala sio kukurupuka tu km hko kwenu..Mabeberu wote wanafanya hivyo kwenye biashara za mazao, sasa sijui nyinyi mnashindwa wapi.
Hyo ni kazi jomba..Hahaha this TKO
Anahisi Sumbawanga ni kama kwao Ushago.....
Mwambie Willy Paul kafika Swax Town aingie YouTube atafute show ya Nandy+ Willy Paul Sumbawanga
Sent using Jamii Forums mobile app