Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe unashauri nauli iwe juu wakati nchi zilizoendelea ticket yako ya ndege inakupandisha bure kwenye basi la route ya airport. As a matter of fact kuifanya airport yetu more friendly mabasi haya ya BRT yawe na space kubwa ya kuweka mabegi!

Na route connection to SGR kwa mfano mtu akishuka airport anapanda treni mpaka Pugu than SGR to Morogoro, Dodoma n onwards! Na gharama ziwe covered na tiketi ya ndege! Synergies zisizo na gharama ndo kwa other modes of transport to city center/port/Zanzibar ferries, Pugu SGR station na Mbezi Bus Terminal zinahitajika!
 
Just to let you know that, only Dar Es Salaam can beat Kisumu. All other towns in Tanzania are centuries back.


Look at the roads, not like the muddy dusty roads of Mwanza.
Estates are on another level.
 
Tatizo la wakenya miji yao mingi maendeleo hayajatawanyika unakuta mji umechangamka sehemu moja tu na hapo ndipo wanapiga picha ghorofa moja moja kuja kuaminisha watu kwmb huo mji umejengeka pathetic
Kweli yaani angalia hata hii πŸ‘‡πŸ‘‡CBD ya Nakuru, kafinyu then wanaleta picha moja za jengo moja moja kumbe kamji kenyewe ni level ya Musoma town
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…