Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

naona isiingie ndan ya airport.. biashara ya tax itakufa sasa.. ipite nje ya airport tu
Mkuu hatuwezi kupoteza mabilioni ya pesa kwa ajili ya faida ya wachache, wacha iingie ndani brt itapga pesa lkn hata tax nazo zitapiga pesa, km terminals zitaongeza ufanisi, mamlaka zitaongeza ufanisi, pamoja na wizara mfano wizara ya utalii, I hope arrivals itakuwa ya kutosha so kila mtu atapata anachostahili cz kuna wageni wengine wana prefer private car to community buses, hyo pia itaongeza thamani ya uwanja wetu na nchi kwa ujumla.
 
Ilikuwa haiingii akilini kabisa airport kukosa BRT yn watu wanatoka ma kms kibaoo from abroad zen amechoka anataka kwenda Johari rotana anakutana na bonge la joka apo Vingunguti, ss itakuwa poa tena nashauri kuwe na buses kwa ajili ya airport tu na ziwe na nauli ya juu kdg ili kubana raia wa kawaida wasisumbue arrivals
Great idea
 
Phase 6 ndo zilikuwa planned initially
Phase 1 Kimara - CBD and Gerezani.. Completed
Phase 2 -Mbagala to CBD and Gerezani U/C
Phase 3- Gombz to CBD and Gerezani loan from WB agreed ..
Phase 4 Tegeta to CBD and Gerezani WB agreed to give us loan

Phase 5- ina roads nying including Nelson Mandela, Sinza , Kati kati humo Mwananyamla , Buguruni it is the longest BRT route bado haijapata funds

Phase 6.. Kawe and Mikocheni to CBD



Sent using Jamii Forums mobile app
Zikikamilika zote hizi nadhani serikali ihimize level seat custom cz waafrika cc huwa hatutoshi, pamoja na kuwa na BRT pamoja na train juu lkn bado watu watagombea kuingia km kawa, nashauri kuwe na utaratibu wa lazima wa kupanga foleni, na watumie modality ya first in first out hapo itakuwa poa sana.
 
si ndo maana juzi nikashauri anunue ndege moja B777X cargo kusafirisha mzigo kila siku!
Yah ni kweli kabisa au anaweza ata akai forgone dreamliner moja ikabeba mizigo by the time ana accumulate funds to buy cargo plane
 
naona isiingie ndan ya airport.. biashara ya tax itakufa sasa.. ipite nje ya airport tu
wacha fikra hizo bro. biashara ushindani na ya Taxi ingakuwa ishakufa siku nyingi tangu Uber iingie! huwezi kukataza BRT au commuter train isifike airport! Nani amekuambia kila msafiri wa ndege yuko tayari kulipia taxi? Kwanza sipendi tabia ya taxi za Tanzania kutokuwa na meter inakera!
 
6224CCF4-C804-45B0-A1ED-CB522A78CCC5.jpeg
FDBA4CDF-1379-435C-846A-A964BEFFCA58.jpeg
 
Back
Top Bottom