The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,849
Hahahaha hz fimbo tunazowapiga hawa wakora hawana hamu na cc, yn kimoyo moyo wanahisi bora nairaland kuliko hii battle [emoji3][emoji3][emoji3]Halafu pia wajue ndio maana watanzania huwezi kuwalundika kwenye cages kama broilers na ndio maana miji yetu ni mikubwa na imetanuka sababu kila mtanzania anataka kuishi kwenye eneo lake kubwa lenye fance na garden kubwa
Tofauti na Wakenya wamezoea kuishi kwenye slums na kwenye cages, yaani wanalo somo kubwa sana la kujifunza kuhusu Tanzania.
Actually inakaa Kilimanjaro Rural
😅😅😅😅 Yaani hawaamini macho yaoHahahaha hz fimbo tunazowapiga hawa wakora hawana hamu na cc, yn kimoyo moyo wanahisi bora nairaland kuliko hii battle [emoji3][emoji3][emoji3]
ila we jamaaaaa💉💉💉Hivi ukanda huu kuna watu creative kama wabongo kweli?
View attachment 1416837View attachment 1416838View attachment 1416839View attachment 1416840View attachment 1416841View attachment 1416843View attachment 1416844View attachment 1416846
Wamekosa utu.
Wow....what a shot! Ulivizia hizo Land Cruisers?
Watoke wapi 😂😂😂Hivi ukanda huu kuna watu creative kama wabongo kweli?
View attachment 1416827View attachment 1416828View attachment 1416829View attachment 1416830View attachment 1416831View attachment 1416832View attachment 1416833View attachment 1416834
Mwongeze na hzi [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1415419View attachment 1415420View attachment 1415421View attachment 1415422
View attachment 1415423
Duh kwakweli wakenya kwa kusombana kwenye nchi za watu kwa hilo hamjambo
Amboseli national park,,the only place that has the best view of mt Kilimanjaro
View attachment 1416981