The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,848
Hivyo tu imeisha au bado 😂😂😂
Forbes does due dilligence the likes of Chris Kirubi r all hypes no bank statement to back their show off!Msisahau kwmb HAKUNA BILIONEA HATA MMOJA KENYA [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1416628
15km kabla hujafika mjini naambiwa wameweka taa izo..pale makole wamevunja nyumba pamekua peupe unauona uwanja wa ndege kama wafahamu Dodoma hapa nadhan kuna mabadiliko makubwa sana...I have liked the way Dodoma respects road reserves [emoji847][emoji847][emoji847][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Hii Dodoma itakuwa mfano wa kuigwa Afrika we subiri15km kabla hujafika mjini naambiwa wameweka taa izo..pale makole wamevunja nyumba pamekua peupe unauona uwanja wa ndege kama wafahamu Dodoma hapa nadhan kuna mabadiliko makubwa sana...
Here are some few photos
View attachment 1416642View attachment 1416644
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi habari Wakenya huwa hawazipendi kabisa, wanasema kila cku U/C mpk lini [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Wakenya subirini show kamili tutawaonesha pamoja na wengine wote waliobaki.
Zinajengwa kwa maneno
Thanks for renderKeep in mind that after completion of river estate housing in Ngara and eighteen seventy in Westlands...we will have more than triple of ur existing 30+ buildings View attachment 1416653View attachment 1416655
Sent using Jamii Forums mobile app
Ihehehe imeingia vyema nafkiriIf kibera was better planned indeed ingechapa hii moshi😂😂,,bahati ni kuwa huu usawazi wa moshi umepangwa vizuri na kuwekwa rami😂 😂 😂