Kwenye suburb mavi yamekutoka 😂😂😂Kama kuna jiji hapo Tz linaweza chapa Mombasa kwa mitaa,bring it over
Not the first one,Nairobi iko,kwanza iko na underpassKumbe bypass mm nilijua interchange 😂😂 interchange yakwanza east africa three level interchange inajengwa dar unahabari hio😁😁
Huku lami ni noma na ndio mji was pili kwa ukubwa Tanzania
Is this three level ????😂😂😂😂😂Not the first one,Nairobi iko,kwanza iko na underpass
View attachment 1413234
😂😂😂👇👇👇tuliza makaliooNot the first one,Nairobi iko,kwanza iko na underpass
View attachment 1413234
The whole of Kisumu
Bila kusahau slum ndani ya mji wa pili mkubwa kenya 😂😂😂👇👇👇👇Huku lami ni noma na ndio mji was pili kwa ukubwa Tanzania
View attachment 1413264
Lazma usikie matukio kila baada ya mwezi imeua watu au magari yamedondokaNauliza hiviii ndugu zangu wakenya hiki ni kivuko au karai [emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1413313
hahah hiki kikipigwa wimbi kinamwaga "vitumbua vyote"!Nauliza hiviii ndugu zangu wakenya hiki ni kivuko au karai [emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1413313