Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Interchange three level Kenya ilijengwa 2013. Continue dreaming
Now a contract has been awarded for an overpass all the way from Eastlands to CBD.
Another one from JKIA TO Westlands. mtashangaa nyinyi. sisi huwa hatusemi sana, hadi picha zianze kukam.
View attachment 1413466
View attachment 1413467
Wacha kulazimisha mambo ww, three level gn hyo na km hyo mliambiwa ni three level bac mlipigwa km kawa
 
Kitu noma,Kenya na Uhuru tneweza kweli,big up uhuru
Big up uhuru wkt kawaachia bomu [emoji3][emoji3] mwenzenu maisha bora anajua hata nchi ikiuzwa hana shida, ss nyie subirini muone wachina watavyowashika nyeti zenu
 
Nimeona render na ushuzi 😂😂👇👇 weka picha nzima tuone hapa mumejenga nn
18D6BC6B-8E88-4223-A08F-62DB247AC9F2.jpeg
 
Big up uhuru wkt kawaachia bomu [emoji3][emoji3] mwenzenu maisha bora anajua hata nchi ikiuzwa hana shida, ss nyie subirini muone wachina watavyowashika nyeti zenu
Siku wakipata rais mwenye uchungu na Kenya hayo madudu yatakayo kutwa,
Si huwa wanamdhihaki Jpm aki rekebisha mikataba mibovu ya awamu iliyopita.
 
Back
Top Bottom