Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongo
FB_IMG_1496566115986.jpg
 
Kupitia hizi picha nimejua kwamba Nairobi ina majengo ya kizamani mengi ,barabara nyembana ,na barabara zenye vumbi ,itakuwa picha nyingine huwa mnaedit
 
we wajua barabara ni nini kweli? Dar kuna barabara ya lane sita kweli au superhighways na flyovers wazijua au waziskia? ukitaka kuona barabara sema nikulete Nairobi.
utajua hujui
 
Umeona picha alizo tuma mkenya mwenzio hapo juu ?
 
Back
Top Bottom