DATA ya unemployment in kenya ni 'flawed' sasa kama nauza nguo lakini silipi tax wana ni categorise kama unemployed,really?Yeah self employed, si lazima uende ofisi
NA Algeria wako na unemployment ya 49%. Na hii unemployment bado kuna larger middle class in Kenya, how?
Pole bro kwa kichapo hio ndio yanga.........Hahaha! Daaah!
Nimekupa mfano mdogo kua most of Tanzanians are farmers tena more than 78% so are they employed........???????DATA ya unemployment in kenya ni 'flawed' sasa kama nauza nguo lakini silipi tax wana ni categorise kama unemployed,really?
usiwe na shaka MZEE WA IQDaaah! Kumezuka nini tena!?? hatari hii
I agree, we need to "formalize" au bring this people into they system, then maybe this 40% plus figures zitawacha kutupwa tupwa... pia watoe students kwa hiyo data.Nimekupa mfano mdogo kua most of Tanzanians are farmers tena more than 78% so are they employed........???????
Hio data haizungumzii wazee au watoto hio data inazungumzia youths walio mitaani kakaI agr
I agree, we need to "formalize" au bring this people into they system, then maybe this 40% plus figures zitawacha kutupwa tupwa... pia watoe students kwa hiyo data.
Maybe tz...but Kenya 18 plus you are counted. Many people at this stage ni wanafunzi, na wengine ni wanabiashara au wanafanyia kazi wanabiashara wengine ambao pia KRA haina information yao.Hio data haizungumzii wazee au watoto hio data inazungumzia youths walio mitaani kaka
Review hapo
https://www.google.com/url?sa=t&sou...gg0MAM&usg=AFQjCNErWmpRJZt_u5aaxskXzfvOzypyMQ
Nimekupa link hio usome kakaMaybe tz...but Kenya 18 plus you are counted. Many people at this stage ni wanafunzi, na wengine ni wanabiashara au wanafanyia kazi wanabiashara wengine ambao pia KRA haina information yao.
jaribu kuifunguaNimekupa link hio usome kaka
https://www.google.com/url?sa=t&sou...gg0MAM&usg=AFQjCNErWmpRJZt_u5aaxskXzfvOzypyMQ
Ntakua nimeikosea kuicopy Lemmy try to copy again......jaribu kuifungua
Ulilialia eti FC wameshinda kwa penalty, ndio hiyo hiyo ya YangaPole bro kwa kichapo hio ndio yanga.........
Tusker na mpira wapi na wapi😀😀😀😀
Lakini TZ Timu nazo zitafute designer wa jezi, hivi zinakaa mbayaPole bro kwa kichapo hio ndio yanga.........
Tusker na mpira wapi na wapi😀😀😀😀
hamna kitu apo. kunywa maji, unyore, ulale.... repeatWizara ya uchukuzi wakiwa China kuchagua ni aina gani ya mabehewa ya kisasa yatatumika kwenye SGR tanzania.......
View attachment 519364 View attachment 519365 View attachment 519367
Hehehe maneno ya mkosaji😀😀😀😀😀hamna kitu apo. kunywa maji, unyore, ulale.... repeat
4 by 2 kaka utasema umeonewaUlilialia eti FC wameshinda kwa penalty, ndio hiyo hiyo ya Yanga
mipango sio matumizi. kingwendu wwHehehe maneno ya mkosaji😀😀😀😀😀
Hhahhaha bongo mambo mazuri 😀😀😀mipango sio matumizi. kingwendu ww