The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Ndo namsubiri hapa, unajua wakenya waongo sn af bdo wanafikiri hapa ni nairaland [emoji3][emoji3][emoji3]Atakudanganya express way[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo namsubiri hapa, unajua wakenya waongo sn af bdo wanafikiri hapa ni nairaland [emoji3][emoji3][emoji3]Atakudanganya express way[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hhaah apana ni SGRIs this express way😂😂😂
Ukhekhekhekhe tudsnganye maana mara ya kwanza mulisema BRT mukakamatika sasa leo imegeuka kua express way😂😂😂😂😂Hhaah apana ni SGR
Hili ndio jiji kuu [emoji3][emoji3][emoji3] smh...
Hebu tufananishe kidogo [emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
Hebu tufananishe kidogo [emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1412528
Ss mbn eneo kubwa ni pori, tafuta density km hii Nairobi zen tag me[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Ss mbn eneo kubwa ni pori, tafuta density km hii Nairobi zen tag me[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1412543
Na katika kupunguza suala la mimba serikali itajenga shule 5 za bweni maalumu kwa ajili ya wasichana tu, na kuna baadhi ya shule za kutwa zinajengewa mabweni ya wasichana, kwa hiyo inaonyesha serikali iko kwenye mipango mizuri ya kuzuia tatizo.Na ndiyo maana hata nilipojaribu kufungua iligoma aisee
Uswazi hatujengi vibanda,vile vibanda vya kibera,mathare,dandora,mukuru ni vya aina yake,that's why mzungu huwa anakuja kutalii kwa sababu huwezi kuvikuta vibanda kama vile popote duniani,ni nairobi pekee
Kilimani ile ni msitu wa kongo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hizi ndo ICU zao
View attachment 1412615
Sasa haka ni kanini,eti suburb 😂Suburb umekosa sindio hehehe 👇👇
View attachment 1412458
Expressway+BRT,just wait will seeUkhekhekhekhe tudsnganye maana mara ya kwanza mulisema BRT mukakamatika sasa leo imegeuka kua express way😂😂😂😂😂