Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

L
Ngoja akaliokote li render akuwekee hapa
66034755_2080706985565979_5980872102746059880_n.jpg
images (13).jpeg
 
Sio kweli, hili swala linapotoshwa na watu wengi including Maria sarungi, serikali imeshikilia msimamo wake kuwa wanafunzi waliopata mimba hawatarudi kwenye utaratibu wa kawaida, na serikali wameuelezea utaratibu unaotumika na WB wameuona ni mzuri, ukienda hata uk wanaopata mimba huwa kuna utaratibu mwingine.
Na ndiyo maana hata nilipojaribu kufungua iligoma aisee
 
Back
Top Bottom