Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



EVBYw2xXYAAGhkj



#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy

LOL hivi wazungu tuliwalogea nini watanzania? 🤣🤣🤣🤣🤣

Pamoja na Corona yote lakini hawakomi kuja Tanzania
 
Ujenzi wa bypass mpya,SGR ambayo ni functional,upanuzi wa Mombasa port,lamu port,kisumu port,new oil terminus, lake trukana wind plant,electricity vijijini,ujenzi wa expressway,endelezeni hii list...
SGR yenu imeishia machakani sasa munajenga SGR gani😂😂😂😂 hebu tuoneshe wapi munajenga kisumu port 😹😹
 
Ujenzi wa bypass mpya,SGR ambayo ni functional,upanuzi wa Mombasa port,lamu port,kisumu port,new oil terminus, lake trukana wind plant,electricity vijijini,ujenzi wa expressway,endelezeni hii list...
Sgr gani munajenga wakat SGR imeishia machakani😂😂😂👇👇👇

 
Hawapendi hii kitu [emoji3][emoji3] tungesema cc ungesikia wanakuambia ooohhh this is very serious issue, we are not in here to compete for diseases, ooohhh Tanzanians should not mock over us because we are in the same boat concerning covid-19 pandemic, haya ss bbc hao apo, tena ni mabwana zao wawaambie ss.
 
Ndo kusema mzee kasanda auuView attachment 1412244
Sio kweli, hili swala linapotoshwa na watu wengi including Maria sarungi, serikali imeshikilia msimamo wake kuwa wanafunzi waliopata mimba hawatarudi kwenye utaratibu wa kawaida, na serikali wameuelezea utaratibu unaotumika na WB wameuona ni mzuri, ukienda hata uk wanaopata mimba huwa kuna utaratibu mwingine.
 
Back
Top Bottom