Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

EUh3kfYWsAUc_iW

EUh3l0UXgAYpw5N

EUh3nKaWkAAqK-N

EUh3oWSWAAIYxZu

EUh4UxIXgAI3WA6
 
mzee atafute trillion moja ajenge viwanja 3 vya mpira @80-100billions, na hela nyingine ziende kujenga international swimming pools, boxing courts, basketball grounds, etc.. kuna faida kuwekeza kweny michezo pia mfano kupunguza tatizo la ajira .. sio wote tumeumbwa tuwe doctors, engineers, etc
anaweza hilo ngoja WB waache kumtibua! Wampe hela za elimu ya sekondari kwanza!
 
Ukarabati wa meli mbili na uundaji wa meli mpya ziwa victoria , utengenezaji wa cherezo Mwanza, Ujenzi, upanuaji na ukarabati wa viwanja 11 vya ndege, Upanuaji wa bandari ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara katika bahari ya hindi, ujenzi wa BRT phase2, Upanuzi wa barabara jijini Dar na mengine mengi. Endelezeni hii list.......
 
Ujenzi wa bypass mpya,SGR ambayo ni functional,upanuzi wa Mombasa port,lamu port,kisumu port,new oil terminus, lake trukana wind plant,electricity vijijini,ujenzi wa expressway,endelezeni hii list...
 
mzee atafute trillion moja ajenge viwanja 3 vya mpira @80-100billions, na hela nyingine ziende kujenga international swimming pools, boxing courts, basketball grounds, etc.. kuna faida kuwekeza kweny michezo pia mfano kupunguza tatizo la ajira .. sio wote tumeumbwa tuwe doctors, engineers, etc
Good idea
 
Back
Top Bottom