Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

uyole, mbeya.. majiran msiwe na wasiwasi kuhusu chakula
View attachment 1410287
Wasiwe na wasiwasi wakati huo huo wanaume tunapiga mpunga tu, heheheheheeee hii co Tz ya Nyerere eti anawasaidia watu wanamuondoa mkoloni af achukui kitu matokeo yake ndo km haya hao aliowasaidia washasaau historia yao wanakamata mpk WaTz wanaua (xenophobia), angekuwa Magu anakusaidia lkn majeshi hayakai mbali na migodi maamaeee
 
Mlichobakiza ni hichi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116] ushuzi wa GDP





Huyo mzee anaonekana ni mlevi sn, sema nnachompendea hana shida na mtu km ataidhinisha assassination itakuwa imemlazimu lkn co kwa kupenda, uhuru yuko poa sana jpo ni bogus prezoo
 
Mlichobakiza ni hichi😂😂😂👇👇 ushuzi wa GDP






Ila kwa Sasa Hatumo kundi lenu.
focuseconomics_poorest_countries_nov_2018-01.png
 
Back
Top Bottom