ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Sindio maana hua nakwambia ww huna akili 😂😂👇👇Inafanya safari za kwenda wapi, manake km ni kivukoni dar hazipo jomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Sindio maana hua nakwambia ww huna akili 😂😂👇👇Inafanya safari za kwenda wapi, manake km ni kivukoni dar hazipo jomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaokwenda lamu kuna wenye kipato na masikini wengi wapo usitake kunidanganya nitakuaibisha bure😂😂😂Na ukumbuke wanaoenda lamu wengi niwenye hela zao..
Utalii wa ndaninkenya ni hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa!!umeshindwa kuleta vifaa kutoka katika hospitali za hko kwenu kijijini..mwambie nasubiri hospital yenye hadhi ya bugando
Nakwambia akipata nitag mm niwe wakwanza kushuhudia 😄😄😄mwambie nasubiri hospital yenye hadhi ya bugando
Heheee!!mbna hujajibu swali langu, inapeleka watu wapi inapotoka darSindio maana hua nakwambia ww huna akili [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
View attachment 1409646
Inapeleka watu dar na mizigo na magari kutoka dar kenda znz na kutoka znz kwenda pemba or mafia it depends with route sometimes dar to tanga or pemba to tangaHeheee!!mbna hujajibu swali langu, inapeleka watu wapi inapotoka dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru stadium
Heheee!!punguza speed, lete vifaa vya hospitali yenu hko kijijini..mna ICU beds ngapi over country[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Hebu subiri nioneshe vifaa vya hospital yenu kijijini with suitable evidence nasubiriHeheee!!punguza speed, lete vifaa vya hospitali yenu hko kijijini..
Manake hapo unapotaka kupagusa hupawezi utakimbia bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinaitwaje?Inafanya safari za kwenda wapi, manake km ni kivukoni dar hazipo jomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwelekeze swali inaonekana mavi yamembana😂😂😂😂
Woooiiii!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hebu subiri nioneshe vifaa vya hospital yenu kijijini with suitable evidence nasubiri
Cargo – Azam MarineHeheee!!mbna hujajibu swali langu, inapeleka watu wapi inapotoka dar
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji116][emoji116][emoji116]Inapeleka watu dar na mizigo na magari kutoka dar kenda znz na kutoka znz kwenda pemba or mafia it depends with route sometimes dar to tanga or pemba to tanga
Niletee hospitali yenu ya kijijini with suitable evidence alaf tuone kama utatoka humu ndani leo😂😂😂Woooiiii!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mumeshindwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inaitwaje ???😂😂👇👇
Sasa hizi ndo size ya Mv Jambo na Mv Safari zote zinapiga trip za chini ya saa! Huwezi kufananisha na Sealink yenye uwezo wa kwenda anywhere Africa!Yani kwenye sector ya marine utasubiri sana😂😂😂👇👇👇
View attachment 1409520View attachment 1409521View attachment 1409522
Unajua maana neno "vigezo"Uhuru stadium
Mkapa stadium
Azam complex chamazi
Sheikh abeid karume stadium
Ccm kirumba stadium
Ccm saba saba stadium
Hivyo ni viwanja vilivyowahi host international sports/games in Tanzania