Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi








ETPCdGHXsAYWEyA


ETPCixCXQAUxWnn


ETPCyEUWkAUqQEc


ETPCyFcWkAMb_lY
 
[emoji23][emoji23]nimeifuta.. tusubir serikali na forbes wanasemaje! but wameandika ‘according to what he is invested added up’
nani ame-add up? Unajua the likes of Forbes kabla ya kutoa report zao wanatumia financial consulting firms kufanya findings zao! Sidhani kama utajiri wa Bakhresa unazidi $2 bln! That's is just my opinion!
 
Huku maisha mepesi mno tshs 1000 tu unakula chakula cha maana, c unajua tena huku ndipo chakula cha EA kinapotoka, yn hapa tunasubiri hyo gesi ianze kufanya kazi na huo umeme wa jnhp zen maisha yawe km wana wa Israel pale jangwani hahahahahahaha mnaumia sn
Kwn hyo hela hku ndio huli[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya corona victims 42
Tanzania corona victims 13

Ukosefu wa maji jijini nairobi na ujinga wa viongozi wenu ni udhaifu unaotumiwa na kirusi cha corona,soon mtaanza kuona maajab
Hiyo 42 ilifika lini? Ama hivyo ndo sisiemu inavyowaambia?
 
Kumbe nairobery nako Mafuriko. Halafu hawa kenya wanacheka Tanzania Itabidi mnunue boti kipindi ya mafuriko 😂😂😂
 

Attachments

  • Capture+_2020-03-28-14-09-50.png
    Capture+_2020-03-28-14-09-50.png
    519.4 KB · Views: 21
  • Capture+_2020-03-28-14-11-01.png
    Capture+_2020-03-28-14-11-01.png
    512.3 KB · Views: 21
  • Capture+_2020-03-28-14-13-11.png
    Capture+_2020-03-28-14-13-11.png
    258 KB · Views: 18
Back
Top Bottom