Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ngoja wakuletee misitu kwenye CBD 😂😂😂, halafu kwenye Estates zao nyingi kama umenotes hakuna miti, yaani kichwa kiko chini miguu juu😂😂😁
Ona unavojichanganya. On one end, unasema Nairobi ni misitu and on the other end unasema eti mitaa zetu hazina miti so what exactly is your point?
 
Waki watz tupo site tunapiga kazi usiku na mchana Kenya nyani zimefungiwa kwa slum , Hiki onekana kima yoyote nje ni mboko tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo Kazi zinawasaidia nini na tumewashinda kwa kila kitu? Nyinyi hata tukae curfew ya one year bado mtaendelea tu kusoma number
 
Nairobi covers an area of 696square kilometers, whereas Dar es salaamu covers an area of 1590square kilometers, sasa ebu tuchukulie tu kwamba Nairobi 600km square iko planned , then Dar tuchukulie ile size yooote ya Nairobi ambayo ni 696square kilometers kwa Dar haziko planned, so at the end tunabaki na 894 square kilometers Dar ziko planned. My point,!! unaweza sema Nairobi is more planned than Dar without considering all factors including city coverages 😇😇
First and foremost, I didn't know this is how you reason. Secondly, Hebu tuletee hizo areas Ziko planned Dar tuone ni sehemu zipi (google earth images would be more preferable)
 
Tofautisha mitaa na CBD, CBD gani imejaa miti tu 😂ambako kuna paswa kuwa na trees ndio hakuna 😁
These are Nairobi estates
Screenshot_20190911-130830.png
Screenshot_20190911-142517.png
Screenshot_20190911-130326.png
Screenshot_20190911-130522.png
Screenshot_20190817-111812.png
images(210).jpg
images(151).jpg
general-view-of-bogani-road-karen-nairobi-kenya-KXDM2F.jpg
stdmbsjydepgzsnep.jpg
wdp-zb5679-295608-201.jpg
Screenshot_20200220-155841.png


And then here are Dar neighborhoods. Naona mko na miti everywhere kwenye Mitaa zenu 😂
Screenshot_20200327-142010.png

Screenshot_20190928-132128.png
Screenshot_20190926-172636.png
Screenshot_20190801-184138.png
Screenshot_20190801-183622.png
 
Back
Top Bottom